eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Sema wakuu, mi naona saivi wanavyogawa epics za 105 naona kufika 3200 ni kitu kirahisi tu.. mimi account zote 2 nilizonazo saivi strength inafika 3175+

Naona kwa vile watu wenye game lao wameshaanza kufikia 3300+ wengine tutabanana 3200 saivi 😂
 
Kwel mkuu kama mimi hapa saiv nina 3150 na nimeanza mwaka huu mwezi wa pili 😃😃😃 mpaka mwakan konami wakiendelew kutubless hawa epic wa bure nitafika 3200 mapema mno😃😃😃

Kuna group nipo tsap baada ya konami kuwatoa Oliver khan na Cannavarro wa bure jamaa akasema kama kikosi chako hujatumia zaid ya million 2 kukitengeneza hachezi na wewe🤣🤣🤣

Naona saiv 3300 zimeanza kuwa nyingi
IMG-20250727-WA0041.jpg
 
Kwel mkuu kama mimi hapa saiv nina 3150 na nimeanza mwaka huu mwezi wa pili 😃😃😃 mpaka mwakan konami wakiendelew kutubless hawa epic wa bure nitafika 3200 mapema mno😃😃😃

Kuna group nipo tsap baada ya konami kuwatoa Oliver khan na Cannavarro wa bure jamaa akasema kama kikosi chako hujatumia zaid ya million 2 kukitengeneza hachezi na wewe🤣🤣🤣

Naona saiv 3300 zimeanza kuwa nyingi View attachment 3421561
Duh division inazidi kuwa ngumu watu wana mavikosi aisee
 
Dah nimefika 1700 nimeona division kugumu sivuki 1750 napanda nafika mpka 1750 game zitakazofuata hapo nadraw nafungwa nalud 1680 huko😃😃😃napambana tena naludi mpka 1750

Jana nikasema nitaamka asubuhi 😃😃 nicheze division

Leo nimeamka akili imetulia nacheza mpira vzr nikakutana na script za kutosha😃😃😃

Hii badge nadhan nitaachana nayo tuu mambo yashakuwa mengi
 
Kama vicious cycle ya poverty vile😀. Ukifika 1700+ unahitaji kuwa na roho ya paka ili uweze kufika division 1😀
 
Acha tuu mkuu yan sivuki 1750 nimefika kama sio mara 15 sijui nashuka napanda 😃😃😃

Au Razorblade unaniloga kaka😃😃🤣 nisamahe nikiipata badge sijii kukukutambia kaka
 
Hili game siku za mbele litakuwa ghali zaidi maana hizi update zinazidi kuliboresha na baadhi ya simu zitashindwa kulihimili.
IMG-20250728-WA0022.jpg

Inasemekana update ya 2026 inaongeza graphics kiasi cha misuli pamoja na tattoe za wachezaji kuonekana.
IMG-20250728-WA0023.jpg
IMG-20250728-WA0026.jpg

Ila wafanye wafanyavyo mie nataka subs zinapofanyika zionekane kwenye touch line na benchi la ufundi liwepo siyo kama hivi wanavyotokea kusiko julikana baada ya goli la dakika za jioni 😂
 
Hili game siku za mbele litakuwa ghali zaidi maana hizi update zinazidi kuliboresha na baadhi ya simu zitashindwa kulihimili.
View attachment 3421736

Inasemekana update ya 2026 inaongeza graphics kiasi cha misuli pamoja na tattoe za wachezaji kuonekana.
View attachment 3421739View attachment 3421740
Ila wafanye wafanyavyo mie nataka subs zinapofanyika zionekane kwenye touch line na benchi la ufundi liwepo siyo kama hivi wanavyotokea kusiko julikana baada ya goli la dakika za jioni 😂
Wakiweka na benchi la ufundi simu yako itazima kaka😃😃😃
 
Back
Top Bottom