Beki ni kama vile huna Mkuu upande wa subsView attachment 3420952
Wakubwa ushauri nimchukue nani kwenye legends?
Selikavu nipe settings za Owen kufika 104Cannavaro yupo team Adriano sitaki kurudia mkuu
Ila huyu Cannavaro mtu nyie, anakaba mpaka kivuli πBeki ni kama vile huna Mkuu upande wa subs
Pita tuu na mtu Mfupi Cannavarro
Yule chukua kakaCannavaro yupo team Adriano sitaki kurudia mkuu
Kocha wako ni wa booster mbili anafika kwa Recommended tuu
πππ Mi mi hajatokeaπππ
Inaonesha huyo Mi mi hakulipwa stahiki zake za mechi π
Sawaa mkuuAlafu, na mimi pia naomba pambano na Edo kissy au Razorblade hao ndo watu sijacheza nao humu bado π
Sawa kaka.. we utaandaa kwa yeyote atakaejichanganya kuja π π€£Sawaa mkuu
Wahusika wamesikia watajibu wenyewe me niandae timetable ππ
Mkuu nilikuwa nikichungulia kikosi chako tu hata nikikuona online situmi request πAlafu, na mimi pia naomba pambano na Edo kissy au Razorblade hao ndo watu sijacheza nao humu bado π
πππwe utaandaa kwa yeyote atakaejichanganya kuja π π€£
πππ Razorblade kajichanganyaππSawa kaka.. we utaandaa kwa yeyote atakaejichanganya kuja π π€£
Unajua siwezi kukushabikia kakaπ€£π€£π€£lolote baya likukute tu huko Roomπ€£π€£π€£Mkuu nilikuwa nikichungulia kikosi chako tu hata nikikuona online situmi request π
Ila sasahivi huwa nikikuona online nakutamani, tutakipiga baada ya maitanance ya Alhamisi π
Hahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? πMkuu nilikuwa nikichungulia kikosi chako tu hata nikikuona online situmi request π
Ila sasahivi huwa nikikuona online nakutamani, tutakipiga baada ya maitanance ya Alhamisi π