Batigoal wangu nimemfikisha 105, kitu ambacho nilikuwa sijui na nimekijua jana ni kuhusu hizi training guide.
Zinapunguza na kuongeza stats zingine ili rate ipande, jambo la muhimu ni kuwa makini na kujua unataka nini kwa huyo mchezaji kabla hujafurahia kuwa na rate kubwa.
Wakuu nitoe ushauri tu. Juzi niliona mnafundishana trick ya ku shinda match kwa kuzima data. Hiyo ni cheating na ikatokea wapinzani wako waki report halafu KONAMI wakafatilia ni straight ban. Tucheze fair tu wakuu.