Ppw pwNiinvite
Kazi njema.Ngoja nikakiwashe na Mrussiaππ
Vipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?Yani huyo haji mkuu labda umuote ndotoni π
Yupo vizuri mkuu, jana amefanya save 6 za SelikavuVipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?
Good game mkuuβ¦.Ppw pw
Huyu Khan anadaka aseeeππVipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?
Aah pole mkuu ungepiga pause ukazimaGood game mkuuβ¦.
Naona smart assist ilikuwa on, nashindwa kufanya vitu vyangu.
Kesho tena
Nilicheki hakuna mpaka urudi Home kabisa.Aah pole mkuu ungepiga pause ukazima
Sawa sawaaa kesho tutaenda tena mkuu...Good game mkuuβ¦.
Naona smart assist ilikuwa on, nashindwa kufanya vitu vyangu.
Kesho tena
Labda wametoaππme ishanishindaππNilicheki hakuna mpaka urudi Home kabisa.
Ndio maana kila nisogelea game wanapiga juu wakati Baggio mfupi ππ
Hujalala tuu kakaππbomboclaat
Chill mkuuHujalala tuu kakaππ
Kahn hatoki golini isipokuwa kwa dharula πNiludishie Ludovic basi kaka ππ
Siyo nitaulizia ila hii ni sheria lazima ifatwe πSawa sawaaa kesho tutaenda tena mkuu...
Kuja kijana atauliza matokeo ngoja nimuwekee kabisa
Razorblade matokeo haya hapa View attachment 3416354
View attachment 3416356
Bado ndio naanza hili game ni gumu balaaPole sana mkuuππ
Amna utalizoea tuu...Bado ndio naanza hili game ni gumu balaa