Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Hizo collective strength zisikudanganye mkuu subiri muda ufike tuingie uwanjani ๐.Funny thing ni kwamba tupo equal in strength ๐๐
Weka muda mkuu me nitakuwepo kwanza usiku mbali hata saiv tuu๐๐
View attachment 3303570
Sawaa nitajitaid kuwepoHizo collective strength zisikudanganye mkuu subiri muda ufike tuingie uwanjani ๐.
Nitakutafuta kuanzia saa 4 usiku sasahivi mambo yamebana kidogo.
Na sijui kwanini halitaki kuniondoka yani hayo matatizo yamekuwa kama donda ndugu ๐.Tatizo ambalo hata mimi ninalo๐
Jamaa yangu ambaye tunacheza nae aniambia me sijui kupiga pasi inabid nikiwa golini kwangu niclear kitu ambacho nasahau kila muda๐Na sijui kwanini halitaki kuniondoka yani hayo matatizo yamekuwa kama donda ndugu ๐.
Halafu hii wiki nzima nilikuwa natumia makocha wa kununua kwa GP wenye possession tactic na quick counter tactic kwaajili ya mazoezi na wengi waliyakanyaga baadhi yao ni wenye badge za dvn 2 ๐.Razorblade Nimeenda kuangalia kikosi chako kina mia nyingi kuliko changu na bado collective strength tupo sawaa๐sasa sijui wananiwekea mtego
Saiv me nataka nikusanye coin nichukue wa booster mbiliHalafu hii wiki nzima nilikuwa natumia makocha wa kununua kwa GP wenye possession tactic na quick counter tactic kwaajili ya mazoezi na wengi waliyakanyaga baadhi yao ni wenye badge za dvn 2 ๐.
Dah hiyo formation inanitesa sana halafu wote wote Selikavu na Edo kissy nnaitumia. 80% ya vipigo na droo zangu zinatokana na hii formation 4312๐Selikavu nataka usiku tuguse, natumai umeongeza ujuzi wa kutosha na siyo zile ndege za mwanzo ๐.
View attachment 3303541
Mwamba ametambulishwa rasmi kuwa head coach wa timu yangu(Santos FC).
View attachment 3303542
Xabi Alonso amesema anataka kucheza mechi za kirafiki zisizopungua 5 na 3 kati ya hizo anataka kucheza na Selikavu (Alonso Day), mechi ya pili anataka kucheza na Edo kissy na mechi ya tatu anataka kucheza na NEGAN ๐.
Alonso Day ni kwaajili ya Selikavu ๐.
Ile ya 4222 nilipigwa kama ngoma nilivyoingia div 3 nikaona nilud kwenye formation yangu pendwa๐ hapa natafuta destroyer au Anchorman namba sita Guardiola asogee mbele kidogo wakae na Rice.....Dah hiyo formation inanitesa sana halafu wote wote Selikavu na @edokissy nnaitumia. 80% ya vipigo na droo zangu zinatokana na hii formation 4312๐
Rodri ana mwendo wa kobe watakubonda uchakae๐Ile ya 4222 nilipigwa kama ngoma nilivyoingia div 3 nikaona nilud kwenye formation yangu pendwa๐ hapa natafuta destroyer au Anchorman namba sita Guardiola asogee mbele kidogo wakae na Rice.....
Rodri wa 101 naona yupo sokoni sasa nina coin mia nawaza nijaribu au nipotezee tuu๐๐๐
Duuh.. niendelee kungojea kante wa bure yuleRodri ana mwendo wa kobe watakubonda uchakae๐
Box to box yule ana jua sana kukaba sema mimi situmii box to box anakaa benchiDuuh.. niendelee kungojea kante wa bure yule
Iv yule ni Box to Box eeh au??
Utanidunga hiyo formation yenu siiwezi kuiziwia๐Mkuu najiandaa vizuri kwaajili yako ๐.
Kumtumia DM(Orchestrator) kwenye mfumo wa 4-3-1-2 ni hatari sana ๐.Ile ya 4222 nilipigwa kama ngoma nilivyoingia div 3 nikaona nilud kwenye formation yangu pendwa๐ hapa natafuta destroyer au Anchorman namba sita Guardiola asogee mbele kidogo wakae na Rice.....
Rodri wa 101 naona yupo sokoni sasa nina coin mia nawaza nijaribu au nipotezee tuu๐๐๐
Itabid akae CMF sasaBox to box yule ana jua sana kukaba sema mimi situmii box to box anakaa benchi
Nataman nimuweke deepline๐basi tuuKumtumia DM(Orchestrator) kwenye mfumo wa 4-3-1-2 ni hatari sana ๐.
CMF inakaa poa Box box ni wazuri sema sijui kuwatumia naoenda pivot iliyotulia ya Anchorman na Orchestrator. B2B wanazurura sana uwanjani.Itabid akae CMF sasa
Muweke uone utakavyolia, orchestrator ni wazuri kwenye double pivot akae na anchorman na siyo acheze peke yake.Nataman nimuweke deepline๐basi tuu