Me shabiki yako unanijua mkuu๐๐๐๐น๐นleo usiku tuta panda mkuu ,
Hapana sidhani ๐๐Unaweza amisha team kwenye account moja kwenda nyingine ?
Hiyo kutumika ni dharula tu nikikutana na mtu anaetumia ๐Iv kumbe uliacha kutumia๐๐
Kaza hakuna kuwasha under any circumstances ๐๐Hiyo kutumika ni dharula tu nikikutana na mtu anaetumia ๐
Hujui tu inavyouma unakutana na mtu anatumia hiyo halafu anakufunga 2+ kwa msaada wa hiyo kitu ๐Kaza hakuna kuwasha under any circumstances ๐๐
Waliowapata hao hawana raha kwenye magroup huko ๐Tumuulize Gilberto_ ๐๐๐
Inabid ujue game to the extent kwamba mtu akikuwashia smart assist unamfunga comfortablyHujui tu inavyouma unakutana na mtu anatumia hiyo halafu anakufunga 2+ kwa msaada wa hiyo kitu ๐
Ukiniwashia na mimi nakuwashia ๐
๐๐๐Sishindi sana kwenye magroup siku hizi๐๐Waliowapata hao hawana raha kwenye magroup huko ๐
Sasa hiyo mimi sitaki, yani ni jino kwa jino ili na mimi nikuonyeshe kwamba hiyo kitu naiweza ๐Inabid ujue game to the extent kwamba mtu akikuwashia smart assist unamfunga comfortably
We kachungulie tu utakuta wameweka hadi clip ya Denilson, kamtoka kipa vizuri halafu kakosa ๐๐๐๐Sishindi sana kwenye magroup siku hizi๐๐
Drone football imeingiaje hapa mkuu๐คฃ๐คฃSasa hiyo mimi sitaki, yani ni jino kwa jino ili na mimi nikuonyeshe kwamba hiyo kitu naiweza ๐
Ukinichezea drone football nakuchezea haram football ๐
Ngoja niende ๐คฃ๐คฃ๐คฃWe kachungulie tu utakuta wameweka hadi clip ya Denilson, kamtoka kipa vizuri halafu kakosa ๐
Nimesema tu maana juzi nilikuwa event ya PvP nilikutana na mtu yeye ni juu juu sana ๐Drone football imeingiaje hapa mkuu๐คฃ๐คฃ
Ndo mpira wangu siku hiziNimesema tu maana juzi nilikuwa event ya PvP nilikutana na mtu yeye ni juu juu sana ๐
Anhaa! Basi sawa.Ndo mpira wangu siku hizi
Denilson ๐๐น๐น Edo kissy kapiga kijembe back 5 zangu, itabidi nimchape na hiki cha japanView attachment 3414344