eFootball Special Thread

Upande wangu mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bado nakaza vidole... Ila hizo draw nusu ilibid niwe nimeshinda
 
Sema usiwe una press sana tumia zaidi match up opponents watakua wanapata 1vs1 nyingi na kipa. Kama unataka kupress vizuri tumia quick counter . Ukipress na long ball counter unaacha space kati kati
 
Sema usiwe una press sana tumia zaidi match up opponents watakua wanapata 1vs1 nyingi na kipa. Kama unataka kupress vizuri tumia quick counter . Ukipress na long ball counter unaacha space kati kati
Shukrani kwa ujuzi, kesho turudie.
 
Sema usiwe una press sana tumia zaidi match up opponents watakua wanapata 1vs1 nyingi na kipa. Kama unataka kupress vizuri tumia quick counter . Ukipress na long ball counter unaacha space kati kati
Me nikitaka kutumia press naweka defense mapema hapo napress bila wasiwasi
 
Selikavu nataka usiku tuguse, natumai umeongeza ujuzi wa kutosha na siyo zile ndege za mwanzo πŸ˜‚.

Mwamba ametambulishwa rasmi kuwa head coach wa timu yangu(Santos FC).

Xabi Alonso amesema anataka kucheza mechi za kirafiki zisizopungua 5 na 3 kati ya hizo anataka kucheza na Selikavu (Alonso Day), mechi ya pili anataka kucheza na Edo kissy na mechi ya tatu anataka kucheza na NEGAN πŸ˜‚.

Alonso Day ni kwaajili ya Selikavu πŸ˜‚.
 
Funny thing ni kwamba tupo equal in strength πŸ˜‚πŸ˜‚

Weka muda mkuu me nitakuwepo kwanza usiku mbali hata saiv tuuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…