Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,559
- 11,373
Mkuu nimebadilisha individual instructions kwa muongozo wa ChartGpt ndiyomaana kiasi nimepata ushindi kwa wazee wa LB.Kheeh🤣🤣me nikikutana na mtu mbutiaji ananifunga😃😃
Me huwa nazima line kabisa sema siku hizi nimepunguzaMie Do not disturb huwa inahusika aisee 😂
Amka kaka, utajisaidia 😂Eeh nipo naota kaka🤣🤣🤣
Umewapaje saivi labda nikazitumie na mimi😃😃Mkuu nimebadilisha individual instructions kwa muongozo wa ChartGpt ndiyomaana kiasi nimepata ushindi kwa wazee wa LB.
Halafu wanakuwa na kusudi wakiona badge ya dvn 2 ile ndiyo wanakamia halafu wengi unakuta wapo dvn 3 😂
Amka kaka, utajisaidia 😂
Anapona mdogo mdogo 😂Bado anawafikiria Ai wake matendo makuu waliyomwonesha🤣🤣
Nimelud nimekuta upo eventsmtandao umezingua mkuu
😃😃😃Vitu wamefanya mpka muda huu havielewi😃Anapona mdogo mdogo 😂
Powtwende
Si unajua natumia back 3 sasahivi kwahiyo wakikutana na mimi wanatumia LB wakati mtu umeangalia team playstyle yake ni QC 😂Umewapaje saivi labda nikazitumie na mimi😃😃
Kheeh🤣🤣🤣 Deepline wawili si uuaji huoSi unajua natumia back 3 sasahivi kwahiyo wakikutana na mimi wanatumia LB wakati mtu umeangalia team playstyle yake ni QC 😂
Kwensa kwa ChatGpt akanipa maelekezo CB za pembeni nizipe defense halafu DMF zote mbili nizipe deep line.
Akanifumbua akili sasa kwamba kuna wakati hizi destroyer zinapanda katikati kujunga kwenye kushambulia, nilivyokuja kucheki ndo naona Tony Adams eti anaassist 3 😂
Yani konami wanipe coins na mie ninunue 😂Itattimia tuu si plus na kununua coins
Halafu kule mbele wapo huru sasahivi anafunga yeyote ila kama ujuavyo Drogba mzito kumaliza dakika 90 mpaka stamina gauge inakuwa nyekundu maana inabidi nae akimbizane kukaba 😂Kheeh🤣🤣🤣 Deepline wawili si uuaji huo
Kwani huwa ina mwisho hii pack
Zimebaki siku 11 expire date ifikeKwani huwa ina mwisho hii pack