Beki ya Barcelona kwel awe destroyer labda AraujoKama ni kweli inakuja hivyo nitaondoka na Puyol ila awe Destroyer π
Nimeangalia card zake zote za nyuma ni destroyer, hii ni prediction tu wenyewe wamesema tarehe 17/7 ndo watatoa card zingine.Beki ya Barcelona kwel awe destroyer labda Araujo
Ngoja tungojee kakaNimeangalia card zake zote za nyuma ni destroyer, hii ni prediction tu wenyewe wamesema tarehe 17/7 ndo watatoa card zingine.
Account zako zote mbili nazitamaniπ€£π€£π€£πππEty Kali balaaππ
Zote mbili amaπ€£π€£π€£
Oya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?Razorblade Ukiona sipo huku nshtue hata normal πππkwa namba ya Tayana wog yako si unaitunza kama sukari yaoπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£Oya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?
πππWakati game inaanza ulitoa Qc ukaweka LBCOya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?
Hamna LBC niliweka kabla hatujaingia uwanjani maana tayari ulisema tucheze LBC, settings nilienda kuzima smart assist.πππWakati game inaanza ulitoa Qc ukaweka LBC
Sasa LBC kwa LBC long balls hazifanyi kazi maana backline inakuwa nyuma sana ndo maana ikabid nicheze pass fupi
Niliangalia tulivyoingia room ilikuwa Ni QC then ulivyopiga pause nikaangalia nikaona LBC nikasema hapa sawaπHamna LBC niliweka kabla hatujaingia uwanjani maana tayari ulisema tucheze LBC, settings nilienda kuzima smart assist.
Au wewe ulitaka utumie LBC mie nitumie QC?
Ndiyo niliweka LBC sasa nashangaa wewe unapiga vipasi vyako πNiliangalia tulivyoingia room ilikuwa Ni QC then ulivyopiga pause nikaangalia nikaona LBC nikasema hapa sawaπ
Lakin huu ndo mchezo wangu hata niweke possession game Qc ndo itachezwa ππ
Kumbe ulizima smart assistππ
Nilikua naminyana na AI natafuta badge ya division 1πNimeingia nimekuta wewe upo online pamoja na Negan na Mill broh nikatuma kwa wote watatu hakuna aliyekuja...
Me washanishinda hawa jamaaNilikua naminyana na AI natafuta badge ya division 1πView attachment 3403647
π€£π€£π€£π€£Siwezi acha mpira wanguNdiyo niliweka LBC sasa nashangaa wewe unapiga vipasi vyako π
Wakati nacheza event niliwasha π