Utapata Wachezaji wazuri week hiigame karibu 6 nilizopoteza hizi ni sababu jamaa wanavikosi vikubwa naanza kuwafunga lakini wananiletea kina etto na batistuta
hiyo utra defensive tunaset wapi maana naona Hawa wanachomoa sana.Kaza kaza๐๐๐
Yes nahitaji sana wachezaji nilibahatisha savinho ndo anasaidia sana 90% nafasi zinatoka kwake.Utapata Wachezaji wazuri week hii
Kaka hapo hapo kwenye attack na defense setting muda wa mechi unaweka defensive mpaka mwisho zinawaka bars mbili za bluehiyo utra defensive tunaset wapi maana naona Hawa wanachomoa sana.
Aah huyo mzuri ni playmakers mzuri ana speed na acceleration nzuriYes nahitaji sana wachezaji nilibahatisha savinho ndo anasaidia sana 90% nafasi zinatoka kwake.
Ndiyo.Mkuu ndo kuset pale kwenye attacking na defence e?
Watu wako mbele ya muda ๐Kazi kazi babu ๐คฃ๐คฃ๐คฃkikubwa ushindi twende mbele
Kwa hali hii achana na possession ๐Ona stats za game๐คฃ๐คฃ๐คฃkama vile Playstyle yangu sio possession game๐๐๐View attachment 3398473
Hahaha hii siwezi kaka....naenjoy kucheza flexible footballKaka hapo hapo kwenye attack na defense setting muda wa mechi unaweka defensive mpaka mwisho zinawaka bars mbili za blue
Sema siyo nzuri usiizoee hutojua game kwa sasa...
Ukishakuwa pro ndo unaweza ukawa unawasha na ukashinda vzr tuu
Amna possession ya huyu kocha ni ya defensive mzee๐๐Kwa hali hii achana na possession ๐
Ila ukikutana na mtu ukamchakaza hadi akakuzimia taa raha sana ๐Amna possession ya huyu kocha ni ya defensive mzee๐๐
Me hata nifungwe mia sikimbii mechiIla ukikutana na mtu ukamchakaza hadi akakuzimia taa raha sana ๐
View attachment 3398641
Division kwa kiduanzi sana siku hizinime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatari๐น๐น
Nikirudi kucheza dvn ni mwendo wa weka tuweke ๐nime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatari๐น๐น
Ubaya ubwela๐Nikirudi kucheza dvn ni mwendo wa weka tuweke ๐
Ukiniwekea smart assist nakuwekea pia, ukiniwashia ultra defensive nakuwashia pia ๐
Mbwa kala mbwa hiyo ๐
Hasa akiwa na wachezqji wenye nguvu kubwa kukuzidiIla ukikutana na mtu ukamchakaza hadi akakuzimia taa raha sana ๐
View attachment 3398641
Ya kiboya asee badge ya dvn 2 inani tosha ๐นDivision kwa kiduanzi sana siku hizi
Mbona ulikuwa Karibu mkuu kaza kaza ikiwezekana na wewe washa๐๐leo upandeHasa akiwa na wachezqji wenye nguvu kubwa kukuzidi
Ya kiboya asee badge ya dvn 2 inani tosha ๐น
Kama Kuna namna ya kufanya campaign itolewe Division tufanye tuuSmart assist ๐ฎ๐ฎ๐ฎ.