Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Ya JF.Mahabusu ipi?
Kavuka Kama hivyo Sasa 😂😂Ila dharau mbaya sana jana nimepigwa 0-2 kwenye event ya PvP kizembe sana 😂
Nilikutana na mtu binafsi niseme kwa level yangu bado anasubiri, nilikuwa nafika kwenye box lake kabla ya wachezaji wake halafu badala ya kushinda nikawa napiga tu pasi ndani ya box akifika anapokonya mpira anabutua mbele 😂
Kilichonikuta sasa kapata nafasi 2 kwa uzembe wangu ndo hizohizo kazitumia, kwenda kuangalia eti yupo dvn 2 nikawa najiuliza amevukaje dvn 3 kwa mchezo ule 😂
Inaonekana alikuwa anadharaulika kama nilivyofanya 😂Kavuka Kama hivyo Sasa 😂😂
Mzaha mzaha hutumbua UsahaIla dharau mbaya sana jana nimepigwa 0-2 kwenye event ya PvP kizembe sana 😂
Nilikutana na mtu binafsi niseme kwa level yangu bado anasubiri, nilikuwa nafika kwenye box lake kabla ya wachezaji wake halafu badala ya kushinda nikawa napiga tu pasi ndani ya box akifika anapokonya mpira anabutua mbele 😂
Kilichonikuta sasa kapata nafasi 2 kwa uzembe wangu ndo hizohizo kazitumia, kwenda kuangalia eti yupo dvn 2 nikawa najiuliza amevukaje dvn 3 kwa mchezo ule 😂
Wakati huo nilikuwa nimetoka kupigwa 4-1 na mtumia smart assist 😂Mzaha mzaha hutumbua Usaha
Smart assist inatunyoosha sana😃😃😃Wakati huo nilikuwa nimetoka kupigwa 4-1 na mtumia smart assist 😂
Tabu tupu mkuu, hilo goli nilipata baada ya kuiwasha pia ila ndo nikikuwa nishachelewa 😂Smart assist inatunyoosha sana😃😃😃
Sako kwa bako 😂Coach Playstyle ni Possession Game 😃😃
Me ninachocheza ni Quick Counter Pro max mode🤣🤣🤣
Yan kila mechi ni mvurugano tuu😃😃😃View attachment 3398379
We ingia full mkoko 😃😃😃mapema tuuTabu tupu mkuu, hilo goli nilipata baada ya kuiwasha pia ila ndo nikikuwa nishachelewa 😂
Kocha najua anataman avunje mkataba😃😃😃Sako kwa bako 😂
Ila kuna watu wanakera sana yani events unaweza cheza hata mara 1000 lakini mtu anaingia tu uwanjani anakuwashia ultra defensive 😂We ingia full mkoko 😃😃😃mapema tuu
Vurugu tupu mkuu 😂Kocha najua anataman avunje mkataba😃😃😃
Mkuu ndo kuset pale kwenye attacking na defence e?Ila kuna watu wanakera sana yani events unaweza cheza hata mara 1000 lakini mtu anaingia tu uwanjani anakuwashia ultra defensive
Kazi kazi babu 🤣🤣🤣kikubwa ushindi twende mbeleIla kuna watu wanakera sana yani events unaweza cheza hata mara 1000 lakini mtu anaingia tu uwanjani anakuwashia ultra defensive 😂
Ona stats za game🤣🤣🤣kama vile Playstyle yangu sio possession game😃😃😃Vurugu tupu mkuu 😂
Kaza kaza😃😃😃majukumu yanabana lakini bado napambana.....dvn 3 naona wote wana 100+ kwenye vikosi vyao