eFootball Special Thread

Ukazan hii ni Efootball utaingia bila DMF na utashinda🤣🤣🤣
 
Mkuu huenda ningekomaa ningetoboa, kabla ya mtihani kichwa kilikuwa kinagonga balaa mpaka wakawa wanajitafutia panadol 😂

Matokeo yanakuja kutoka ni alama 3 tu ndo zimenipa sup, niliumia roho 😂
Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo 🤣🤣🤣nilikata adi rufaa mzee kupinga🤣🤣lakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…