eFootball Special Thread

Mkuu huko dvn nilikutana na mtu anateleza tu nahisi wachezaji wake wote wana one touch pass, kipindi cha kwanza nikala 4 kwa 1 kipindi cha pili ikabidi nikae kwa kutulia ila match ikaisha nimekula 5 kwa 1 😂
 
Hiyo ji sung Park umemtoa wapi?

Kuhusu kipa ni form ya booster yake akiwa na A form stats zinaongezeka +3 , B +2, akiwa na C +1 , akiwa na D ni zero ndio kama hapo Donnaruma ana form ya D
Nlivokuwa nafungua account, kwenye country nilichagua korea unampata wakorea wa 2 uliowaona hapo.
 
Hiyo ji sung Park umemtoa wapi?

Kuhusu kipa ni form ya booster yake akiwa na A form stats zinaongezeka +3 , B +2, akiwa na C +1 , akiwa na D ni zero ndio kama hapo Donnaruma ana form ya D
Unajuaje? Maana mwanzo alikiwa na 101 now ndo hivo tena
 
Unajuaje? Maana mwanzo alikiwa na 101 now ndo hivo tena
Ipo hivi wachezaji ambao si epic kila week kunakua na form update ambayo inaangalia kwenye ligi zao

Kama mchezaji amekiwasha basi week inayofuata kwenye game wanampa A au B form akizingua wanampa na C au D.

Akiwa na booster maana yake booster linakua activated mchezaji akiwa na A linaboost stats kwa point 3, akiwa na B form inaboost stat kwa point 1 na akiwa na C inaboost point 0.

Sasa Donnaruma wakati kadi inatoka alikua amekiwasha UEFA akawa na A form hivyo sababu ana booster akawa 101. Ila hizi week hapakuwa na mechi za league na hakuafanya vizuri kimataifa hivyo ana D form booster haijawa activated ndio maana ana 98.

Ndio maana sipendagi players of the week wenye booster ili umfaidi inatakiwa aee na A au B form

Form unaangalia kwenye game plan kwenye alama ya mtu kulia chini
 
Mkuu shukrani, unaeleza vizuri hadi unakela😂🙌🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…