Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,917
- 12,349
Haijarudi mkuu, Selikavu kazingua tu kucheza game rahisi πAlonso derby imerudi hatimaye π
Kama hotspot ya simu inaweza ikawa slow...Hivi ukitumia hotspot game linakuwa slow?
Eeh mkuu nimekula zangu kichapo safi kabisa πππAlonso derby imerudi hatimaye π
Huyo ni mkongwe maana kwenye kikosi ana Ruben Neves wa booster moja meaning alikuwa nalo sema hacheziSijapata simu mkuu, kuna mtu natumia simu yake na kikosi chake inaonekana ndo alikuwa anaanza game.
Hapana nilivyofungua game ndo wamenipa huyo kama ukaribisho baada ya game kutofunguliwa kwa muda mrefu.Huyo ni mkongwe maana kwenye kikosi ana Ruben Neves wa booster moja meaning alikuwa nalo sema hachezi
Shinda hata 100 mkuu.Unataka Game ya Kirafiki nishinde 16πππ
KheehπHapana nilivyofungua game ndo wamenipa huyo kama ukaribisho baada ya game kutofunguliwa kwa muda mrefu.
Ama na mimi nisifungue game muda mrefu wanipeHapana nilivyofungua game ndo wamenipa huyo kama ukaribisho baada ya game kutofunguliwa kwa muda mrefu.
πππSasa si bora ucheze na AiShinda hata 100 mkuu.
Jichanganye πAma na mimi nisifungue game muda mrefu wanipe View attachment 3382839
Haina mzuka ππππSasa si bora ucheze na Ai
Nipo hapa manNani yupo tuguse kabla mambo ayaja ingilianaππ
Nilete codeNipo hapa man
LeteNilete code
Weka usernameNilete code
ThunderkickWeka username
AcceptThunderkick