Inatagemeana kuna mtu amekuzidi huyo hujaribu kabisa ππNiombe rematch nichakazwe π π€£
Nitaanzia division 4 basiππHata kama tangu phase 1. Mana mi mara yangu ya mwisho kufika div 1 ilikuwa yangu mwezi wa 2 huko division sikucheza sana tena.
Kwenda kukaba 3200 mzee na akina timber ni shughuliπππ€£ anajichukulia tu kikosi kwenye vile alivyonavyo
Ingia ukawabondeNitaanzia division 4 basiππ
Razorblade alikuwa ananitrack nadhan alikuwa anaonaππadi saa nane usiku nimo tuu π€£π€£π€£ duh
Jumatatu hiyo naanza kaziπIngia ukawabonde
Poa.Unganisha na Konami Id bila hiyo hizo coin 25 za kila jumatatu huwezi kuclaim
Hadi Telegram? π€£Razorblade alikuwa ananitrack nadhan alikuwa anaonaππadi saa nane usiku nimo tuu π€£
Amna telegram kule ni mambo yangu official sana ujinga sipelekiπππHadi Telegram? π€£
Ndio hilo hilo kaka. Lina 2GB kudownload.Tupeni picha za playstore basi tudownload maana nimesachi kule nakuta lina 2GB ndo lenyewe?
Shukrani, maana vijana wa ofisini wamenishawishi DLS sema sijaielewa graphics yakeNdio hilo hilo kaka. Lina 2GB kudownload.View attachment 3368677
Shida DLS wachezaji wanavyokimbia. Unakuta mchezaji anageuka mzima mzimaπShukrani, maana vijana wa ofisini wamenishawishi DLS sema sijaielewa graphics yake
Sema jiandae kisaikolojia. Utaanza kuwa frustrated official siku utakayoanza kucheza eFootball leagueShukrani, maana vijana wa ofisini wamenishawishi DLS sema sijaielewa graphics yake
Sina ujasiri wa kucheza dvn kwa sasa πAisee unaweza upasue simu.
Hapa nisubiri tu mwishoni mwa phase, script kidogo vibonde wenzangu wengiπ
View attachment 3368748
Pa moto sana π.Aisee unaweza upasue simu.
Hapa nisubiri tu mwishoni mwa phase, script kidogo vibonde wenzangu wengiπ
View attachment 3368748