Watu wana mikwara dahπMr Balle anaombaga mara moja moja.... Ana hiyo message yake mzee sema nimeikosa... Anasema hakikisha umekula umeshiba, unatumia Voda, unajua game na mambo mengi kwel alafu anakuja kusema leta codeπππView attachment 3368568
Kwani ile acc yako ya Japan kuingia huwa unatumia na VPN juu?Hapana kubadilisha hauwezi ndo moja kwa moja hiyo...
Na haiitaji VPN ππsema ujue kubadilisha lugha chrome unavyologin kuunganisha na konami Idππmaana watakuletea kijapan
Unakiwasha balaa π₯View attachment 3368596
Division pamenoga sikuizi sitaki friendly games πππ₯
Nilikuwa kwenye form leo na jana, tungekutana humo usingepona πDah nimejaribu kucheza division leo kiwango changu kimeshuka sana
Ungeniua mkuuπNilikuwa kwenye form leo na jana, tungekutana humo usingepona π
Kaka, kila nikiingia kwenye kusachi mechi mi nipo div 2 ila naletewa watu wa div 3 mpaka raha najichapia tu π sijui KONAMI wameamua kuniachia uhuruUnakiwasha balaa π₯
Unaitaka hiiDivision 1 nafika ila nataka niwe na rank nzuri mwisho wa phase
Bado nipo Na Alonso wangu possession game imeshanishindaπππnipo n Qc tu badoHaujabadilisha mfumo? π
Hii hapana ππ.. ila huwa natamani sana siku nikaze nipate ile badge ya top 100 au 1000 nitatisha sana mambanga πUnaitaka hiiView attachment 3368608
ππHuko Whatsapp kuna balaa Kuna jamaa anajiita Sure mreno anakuambia aje mtu ambaye hapause game mwanzo mwisho wala kubadilisha wapiga konaπππWatu wana mikwara dahπ
Mi sikuizi nikicheza friendly Possession ndo inanifaa ila kule efb league naona bila QC sitoboiBado nipo Na Alonso wangu possession game imeshanishindaπππnipo n Qc tu bado
Hapana hamna haja ya VPN sema nawakosa epic nataka nidownload Panda VPN Nikitaka kuspine nawashaππKwani ile acc yako ya Japan kuingia huwa unatumia na VPN juu?
Ni form tuu alafu bado wale wenye division one yao hawajalud kwaoπππDah nimejaribu kucheza division leo kiwango changu kimeshuka sana
Ulianzia Division 3πNilikuwa kwenye form leo na jana, tungekutana humo usingepona π
MMOJA MWENYEW MTANDAO MZURI ASIEBADIL WAPIGA KONA WALA KUSTOPISHA GAME ATUME CODE DM TWENDE FRIENDππHuko Whatsapp kuna balaa Kuna jamaa anajiita Sure mreno anakuambia aje mtu ambaye hapause game mwanzo mwisho wala kubadilisha wapiga konaπππ
Kwenye Region yetu nadhani Division bado hamjaenda wengiππKaka, kila nikiingia kwenye kusachi mechi mi nipo div 2 ila naletewa watu wa div 3 mpaka raha najichapia tu π sijui KONAMI wameamua kuniachia uhuru
Kama ulifika Division one mmeanzia 3 woteππHalafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Ndio. Naona saivi kama ulishawahi kufika div 1 lazima uanzie div 3Ulianzia Division 3π