Simu ina Ram ngapWakuu graphics mnaset vp isisumbue.... Natumia Redmi note 11 pro plus....naona muda wa game Kuna muda hata pass inakuwa ya shda kutoka.
Unaenda kwenye Extra then game setting then graphics settingsWakuu graphics mnaset vp isisumbue.... Natumia Redmi note 11 pro plus....naona muda wa game Kuna muda hata pass inakuwa ya shda kutoka.
Mkuu hizi picha huwa una attach vipi maana haziji fresh mpaka uzifungue.Watu wanafika 3200
Ram 12 mkuu (8+4)Simu ina Ram ngap
Beki zako zipo ki mkakati sana 😅Mkuu waambie tu umenibonda....pia Kuna muda naona simu ilikuwa inanifanyia drama...hongera sana mkuu.
Ngoja nikaset huko....jamaa anacjeza vizuri sana.Unaenda kwenye Extra then game setting then graphics settings
Nilipata kwenye nominating player pale naona sio wabaya kihivo...nitaomba rematchBeki zako zipo ki mkakati sana 😅
Anasahau kuinsert ndo maana zinakuja kama attachmentMkuu hizi picha huwa una attach vipi maana haziji fresh mpaka uzifungue.
Zina kujaje uko, na tap attach files naikuta apo juu tu na sendMkuu hizi picha huwa una attach vipi maana haziji fresh mpaka uzifungue.
Zile za nominating character tano zitumie vizuri mzee kesho wanakuaja wengine tenaNilipata kwenye nominating player pale naona sio wabaya kihivo...nitaomba rematch
Anasahau kuinsert ndo maana zinakuja kama attachment
Ukisha attach kuna sehemu ya kuinsert Watakuletea sehemu ya kuchagua full then inakuja huku kwenye message juuZina kujaje uko, na tap attach files naikuta apo juu tu na send
Tupo pamojaYeah nmeona huwa si insert 🙏
Shukrani nitazitumia vizuri kupata wachezaji sahihi...nafikiri pia nijitahidi kukuza skills za waliopoZile za nominating character tano zitumie vizuri mzee kesho wanakuaja wengine tena
Insert full image mkuu.Zina kujaje uko, na tap attach files naikuta apo juu tu na send
Nimekupa maelekezo ya kuongezaShukrani nitazitumia vizuri kupata wachezaji sahihi...nafikiri pia nijitahidi kukuza skills za waliopo
Endelea kumpa mafunzo master ila kubwa zaidi usisahau kumuelekeza kupanga wachezaji kwa kufuata playing style zao kwa kulingana na tactic(team playstyle).Nimekupa maelekezo ya kuongeza
Nadhan umejua kuwatofautisha standard player na wachezaji wengine wakubwa...
Standard ata usikomae nao sana maana soon tuu utawatoa wote...
Nipo offline mkuu, hata hivyo nishakwambia sichezi friend match kwa sasa labda itokee dharula 😂Razorblade nikuletee code😃😃
Ram kubwa iyo labda uwe una crear ma file ulio ingia ingia cm isiwe nzitoSimu ina Ram ngap