Nakuja mkuu....lakini button zangu mbogu mbovu hivi hahahajaTupande mkuu,ingia nku invite
Vnvking ndo wewe auMkuu ngoja nmepiga event muda huu jasho jingi kumbe nako kwamoto na kuzuri sana
Nijuze mkuu naombaKandambili1 mkuu unajua kitu kinaitwa level training...
Ushaanza visingizio😃😃Nakuja mkuu....lakini button zangu mbogu mbovu hivi hahahaja
Hapana yeye anatumia Kandambili hvyo hvyoVnvking ndo wewe au
Mimi kandambili1Vnvking ndo wewe au
Ni Friendly match tu hii sio kukamiana mkuu😹😹Nakuja mkuu....lakini button zangu mbogu mbovu hivi hahahaja
Aha sija mu add bado basiUshaanza visingizio😃😃
Hapana yeye anatumia Kandambili hvyo hvyo
Naomba user name yako nikuadd mkuuAha sija mu add bado basi
sawa kaka zisizidi 5 mkuu....bado najifunzaNi Friendly match tu hii sio kukamiana mkuu😹😹
AujiMimi kandambili1
ThunderkickNaomba user name yako nikuadd mkuu
Tayari sent mkuu....dah ni noma bossThunderkick
Hii ni kwa ajili ya kuwaongezea Uwezo wachezaji...😃 Ni kaka trainings fulani ili wajae haraka mfano kama messi ukiwa na kocha mzuri anafika 101...Nijuze mkuu naomba
K kubwaAuji
Uyu jamaa ni pro tayari kasoro kikosi tu😹😹 Kandambili1Hii ni kwa ajili ya kuwaongezea Uwezo wachezaji...😃 Ni kaka trainings fulani ili wajae haraka mfano kama messi ukiwa na kocha mzuri anafika 101...
Sasa hii ukienda kwenye game plan unamgusa mchezaji husika itakuja menu kama hivi level training ni namba 3View attachment 3365041 ukibonyeza hapo zipo level training kama nne ya kwanza kabisa ni ya Elfu kumi sio hela ni uwezo wake utazitumia kadri ya ulizonavyo View attachment 3365054unabonyeza hapo kwenye mstali wa blue pemben kwenye kimshare...
Nikushauri kitu tumia hii kwa wachezaji ambao sio standard mfano kwenye kikosi chako Tumia kwa Kane, Messi, trent, Timber, foden, ronaldo na wengine wale wote ambao box lao lina rangi mfano ukimuangalia Victor Osimhen, Messi, trent, ronaldo utaona utofauti zidi ya Caicedo, Robertson na wengine hapo kwenye team yako hawa usitumie maana uwezo wake ni mdg hawezi fika ratings kubwa kama 99 na kuendelea View attachment 3365067
😃😃😃AseeeUyu jamaa ni pro tayari kasoro kikosi tu😹😹 Kandambili1
Mkuu waambie tu umenibonda....pia Kuna muda naona simu ilikuwa inanifanyia drama...hongera sana mkuu.Uyu jamaa ni pro tayari kasoro kikosi tu😹😹 Kandambili1