πππDahVyovyote vile we husumbui.
Umesema nikikuona online sasa nakuonaje online kama sio marafikiππCode tu zinatosha π
Kubwa ajue Blitz tuuHata noob akijua kumtumia Son tu basi kwisha.
Umeishaaππ
Upo mkuu nikamkabe Totti leoππUmeishaaππ
Kwa kutumia account ambayo ni marafiki πUmesema nikikuona online sasa nakuonaje online kama sio marafikiππ
Mie ndo napenda hivyo πUmeishaaππ
Roho mbaya tu kakaππKwa kutumia account ambayo ni marafiki π
Ukishafika division one hauwezi kuwa wa million ,Hii season inayoanza kesho kutwa nataka nitafute badge ya division one kabisa ππhata ikiwa Rank ya million
Ndio mkuu nimepata wachezaji watano na bado na nafasi 2 za ziada asanteUmefanikisha??
Wachukue wote maana alhamic wanatolewaNdio mkuu nimepata wachezaji watano na bado na nafasi 2 za ziada asante
Division one kila siku we ni kugusa tuu πππUkishafika division one hauwezi kuwa wa million ,
Hapa bado siku mbili phase ikate
Kikubwa kucheza haijalishi unafungwa game ngapi.
View attachment 3363761
Aah nina kipa Ludovic nilimchukua juzi lakn simwamini kama Courtois πππSelikavu ngoja nilale tutacheza siku nyingine. Ila huyu curtois umemlisha nini π anasave kila kitu π
nunez anakosa sana magoli ya wazi. Ila zile kaunta zako ndio maana nacheza mipira ya juu ukishika mpira hujiulizi mara 2πAah nina kipa Ludovic nilimchukua juzi lakn simwamini kama Courtois πππ
Sema mkuu Nunez atakuja aniue saba peke ake siku mojaπππ
Nilikuwa nashangaa mbona leo mpira wa tofauti kabisa unacheza ππ kumbe ilikuwa ni Anti Counter ππnunez anakosa sana magoli ya wazi. Ila zile kaunta zako ndio maana nacheza mipira ya juu ukishika mpira hujiulizi mara 2π
Ile ni anti counter sababu una press kwa fujo na ukiupata mpira pass 2 una shootπNilikuwa nashangaa mbona leo mpira wa tofauti kabisa unacheza ππ kumbe ilikuwa ni Anti Counter ππ
Kuna mtu nimecheza nae leo mchana kaniambia nijifunze kukaa na maliππnikacheka tuu
Na kidogo nimekuja kumuelewa Owen mchezo wake kwahiyo hapa saiv ni counter tuu
Tuishi humo tu πRoho mbaya tu kakaππ
Itabid niisome vizuri hii Anti Counter ππIle ni anti counter sababu una press kwa fujo na ukiupata mpira pass 2 una shootπ