eFootball Special Thread

Owen wangu saiv nacheza nae kama SS week imekata akiwa bored Unakuta kalud zake huku mwanzoni kabisa kuchukua mpiraπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kawaida hiyo kuna muda unakuta anashuka chini kabisa kuchukua mpira.
 
Razorblade Kikosi kule ni Hiki sasa kama na hiki kitakusumbuaπŸ˜ƒπŸ˜ƒbadilisha tu simu mapema kwanza nacheza possession game sio mchezo wangu kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…