Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Mkuu hapo naona wameweka uhitaji wa coin 100 na sina coin kwasasa....au ipoje?...Una wachezaji wa nne kaka hujawachukua nenda hapo kwenye contract angalia sehemu ambayo wapo
Ana moto sana😀Ameshakutangazia challenge umeona kwanza😃😃😃
Mkuu nimekupata ngoja nifanyie kazi hii kituNikushauri kitu mkuu kwa sasa league achana nayo komaa na events upate coins plus wachezaji
Ukiingia kwenye match hapo kwenye home screen yakoView attachment 3363471
Komaa na hizo event za Pvp hapo utakuwa unacheza na mtu kabisa kama league lakn advantage utapa rewards kama coins, level training, skills training pamoja na Gp hivyo vyote una vihitaji kujenga kikosi
Event ya pili ipo chini ni Ya AI Unacheza na macomputer na penyewe rewards ni kama za hapo juu plus kuna chance ya kupewa mchezaji kila week mpya
..
Hizo event zinabadilika Alhamic na nyingine zinakuja kila jumatatu kwahiyo hakikisha unazimaliza hizo then kama utaenda kucheza league kwenye division sawaa
Cha msingi ku log in kila siku utapata wachezaji wazuri. Pia tunza coin vizuri utumie pale zinapohitajika tuNhangaika sijui napataje key players
Japo nafanya events na kulog in nitalog kilasku
Asante mkuu...ngoja nikomae na events kwasasaCha msingi ku log in kila siku utapata wachezaji wazuri. Pia tunza coin vizuri utumie pale zinapohitajika tu
Ndiyo nyumbani hapa mkuu, karibu!Uzi wa maana kabisa huu ukiongozwa na Edo kessy, Selikavu, & Razorblade.
Event ya PvP jana nimehangaika nayo, mara game likate mara lag kama zote halafu mbaya zaidi unakuta linakata wakati unaongoza 😂Nenda kagawe hizo points acha roho mbaya 😃😃😃
Mapema sana 😂Nishakuwa Senpai😃😃😃
Sikuwa na mpango wa kucheza ila nilivyoona invite nikasema ngoja nizame room, kwa simu yangu na mpira wako wala hufai kwa training 😂Si ungenistua tester hapa nipo kwa ajili yako 😃😃😃
😃😃😃Leo atleast nimejitaid nikikutana na ile back five yako mzee kichwa huwa kinawaka moto😃😃Inatosha kaka utakuja uniuwe😅
Unamchomesha mwenzio kazi ya SS haitofautiani sana na AMF.Anafata mipira chini pia mara moja moja akishakuwa bored na mabeki 😃😃😃
Kuna sehemu kwenye hao wachezaji karibu na coin wanakuwa wameandika Remaining one na kuendelea pita sehemu zote mpaka mwisho kabisa ukiona sehemu pameandikwa Remaining 1 au 2 na kuendelea bonyeza hapo hapo kuna mchezaji wakoMkuu hapo naona wameweka uhitaji wa coin 100 na sina coin kwasasa....au ipoje?...
Ngoja atengeneze kikosi kwanza😃😃😃Ana moto sana😀
Tupo tunalisongesha gurudumu mkuuUzi wa maana kabisa huu ukiongozwa na Edo kessy, Selikavu, & Razorblade.
Konami wanajua kukunyoosha😃😃Event ya PvP jana nimehangaika nayo, mara game likate mara lag kama zote halafu mbaya zaidi unakuta linakata wakati unaongoza 😂
Twende nitatumia kile kikosi kingine cha Selikavu😃😃😃Sikuwa na mpango wa kucheza ila nilivyoona invite nikasema ngoja nizame room, kwa simu yangu na mpira wako wala hufai kwa training 😂
Owen wangu saiv nacheza nae kama SS week imekata akiwa bored Unakuta kalud zake huku mwanzoni kabisa kuchukua mpira😃😃😃Unamchomesha mwenzio kazi ya SS haitofautiani sana na AMF.
Asante sana..Kuna sehemu kwenye hao wachezaji karibu na coin wanakuwa wameandika Remaining one na kuendelea pita sehemu zote mpaka mwisho kabisa ukiona sehemu pameandikwa Remaining 1 au 2 na kuendelea bonyeza hapo hapo kuna mchezaji wako
Hawa nitawanyoosha tu ngoja nipate tambo 😂Konami wanajua kukunyoosha😃😃
Umefanikisha??Asante sana..