eFootball Special Thread

Dream team tuna zipata kwenye league tu
 

Attachments

  • Screenshot_20250610_172456_eFootball.jpg
    609 KB · Views: 7
  • Screenshot_20250610_172456_eFootball.jpg
    609 KB · Views: 7
SS ana impact gan uki muweka yeye na CF Mbele?
Kuunganisha viungo na mshambuliaji/washambuliaji wa mwisho.

Anauwezo wa kuchezesha timu kama ilivyo kwa AMF ila tofauti ni kwamba yeye anakuwa karibu zaidi na mshambuliaji/washambuliaji wa mwisho na kuweza kutengeneza nafasi nyingi zaidi kwenye eneo la mwisho.
 
Shukrani sana mkuu...home page yangu ni hii hapa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-10-18-05-58-802_jp.konami.pesam.jpg
    457.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_2025-06-10-18-05-58-802_jp.konami.pesam.jpg
    457.5 KB · Views: 6
Anavuta mabeki anamuachia space CF kufunga vizuri.
Anha NotedπŸ™
 
Kama ataingia ataona, alinitumia invite nikasema acha niingie kibishi kujaribu back 3.

Game ilikuwa inalag kwangu lakini kwa kiasi nimeona kucheza na back 3 iko njema, licha ya lag lakini mechi iliisha 1-2(nimeshinda).
Si ungenistua tester hapa nipo kwa ajili yako πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Arteta amenivusha dvn 7 kwenda 6 leo nmetoka dvn 9 to 6
Nikushauri kitu mkuu kwa sasa league achana nayo komaa na events upate coins plus wachezaji

Ukiingia kwenye match hapo kwenye home screen yako

Komaa na hizo event za Pvp hapo utakuwa unacheza na mtu kabisa kama league lakn advantage utapa rewards kama coins, level training, skills training pamoja na Gp hivyo vyote una vihitaji kujenga kikosi


Event ya pili ipo chini ni Ya AI Unacheza na macomputer na penyewe rewards ni kama za hapo juu plus kuna chance ya kupewa mchezaji kila week mpya
..

Hizo event zinabadilika Alhamic na nyingine zinakuja kila jumatatu kwahiyo hakikisha unazimaliza hizo then kama utaenda kucheza league kwenye division sawaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…