Nimekula kipigo aseee๐bado cha moto mpira wangu wa bahati nasibu umeishia hapa leoWe jamaa sio mtu mzuri kabisa๐๐
Me sitaki mtu ambaye simjui๐๐game kama hizi unafungwa unapewa na comment safi kabisaPandisha kiwango division pale ukikosa opponent wa kwenda nae room๐ ๐คฃ
Mkuu inatakiwa turudiebunipige vizuri maana ๐๐Nimekula kipigo aseee๐bado cha moto mpira wangu wa bahati nasibu umeishia hapa leo View attachment 3360019
Tulud saiv au??Mkuu inatakiwa turudiebunipige vizuri maana ๐๐
Alaf mda ule nlitoka kucheza jamaa kaweka 12min sijatulia invite hiyo๐
Aina noma kakaKesho brother
Huyo Myunani mbona last seen yake ni siku hiyohiyo aliyojiunga tena ni 2012 ๐
Sawa kaka, nitakuwepo.
Unyama sana, nimekuwa nikitamani kucheza Co-op lakini kwa simu yangu sidhani kama inaweza kucheza vizuri.Hivi wadau mnaonaje tucheze coop saa 4 usiku watu wanne at least
Tufanye hivo haha mchomeshaji tutakuja kumsema humu ๐Hivi wadau mnaonaje tucheze coop saa 4 usiku watu wanne at least
Simo ๐Tufanye hivo haha mchomeshaji tutakuja kumsema humu ๐
Uje. We na Myunani mtakuwa upande mmoja ๐๐ nyie si wataniSimo ๐
Nitachoma tu simu yangu naielewa mwenyewe ๐Uje. We na Myunani mtakuwa upande mmoja ๐๐ nyie si watani
Haha tutaona hiyo mida, muhimu tuenjoy game tu.Nitachoma tu simu yangu naielewa mwenyewe ๐
Sawaa mkuu๐๐๐
Vyovyote itakavyokuwa msiniweke na Razorblade ๐๐๐Hivi wadau mnaonaje tucheze coop saa 4 usiku watu wanne at least