Kuna watu kwenye kumtumia utatamani ukimbie mechi dadeq mana mtu kila saa shuti. Kungekuwa na injury kwa makipa wangekoma 😄Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half😀 second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae🙌
Dah😃😃😃Sasa wamemuona ana trend anauzwa sasa 😂 brand lazima ipande bei
😃😃😃Dah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap🤣🤣🤣Kaka Selikavu nashukuru sana kwa hii gundu uliyoniachia. Umenifunga zako usiku ule nimelala nimeamka na nuksi+.
Mimi sio wa kucheza game 12+ bila kushinda 😂😑View attachment 3359904picha linaanza asubuhi nawasha tu data msela ananambia turuke, najaribu kumkwepa nikamuambia kuna mtu namsikilizia anatuma code, nashangaa code hizo akatuma yeye kuwa nicheze nae. Kanifunga mpaka nikamuambia utaniua 😑
Kilichoniuma sana, kuna mechi kama 2 kanifunga 3-0 yani nimetoka bila ya GG duh. Selikavu ndo chanzo!!!
View attachment 3359906
View attachment 3359913nimetoka kufungwa nikaingia group la masela chuo tukashauriana tuguse ligi fupi ya Eid al Adha inayoisha leo leo, mimi huwa ndo nawasimamia na kuwaandalia fixtures za ligi.
Mara nyingi huwa wananikataa nisishiriki ligi eti nawaonea sana 😄 leo nikang'ang'ania, imeniuma sana nimetolewa robo fainali na kibonde wa group ambae tumemrushia game juzi tu aysee, tena nje ndani haha😑
View attachment 3359915
Haya yote msababishi wewe Selikavu Na hii ni mbinu ya kukukimbia ila sikuambii 😄 mana sikuizi umeshanifanya teja unanifunga sana 😢 😅
🙌
Malipizi sio😂 sawa, ndo nakukimbia sasa😃😃😃Dah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap🤣🤣🤣
Mkuu nipe hongera kwanza kwa kukufunga maana kukufunga wewe inahitaji uwe na superpowers sio kww zile pasi🤣🤣🤣hizi nne bila tano bila kwako nimezila mno🤣🤣🤣View attachment 3359945
Khalas.Aah master sio vizur master😃😃😃
Sasa me niwe nacheza na nani mkuu😃😃😃 Master Razorblade amesema hatuchezi wewe tena😃😃😃mnataka kiwango changu hichi kidogo kishuke🤣🤣🤣Malipizi sio😂 sawa, ndo nakukimbia sasa
Master mpaka umeongea kiarabu kwel upo seriousKhalas.
Kaenda google 😂Master mpaka umeongea kiarabu kwel upo serious View attachment 3359953
Kama unaongea lugha zako za ki shaolin me nitajuaje... Ma master mna lugha zenu hapo Gilberto kakuelewa vizuri tuu😃😃😃Kaenda google 😂
Huyo jamaa sio mtu mzuri wallah😂🙌🏿Kaka Selikavu nashukuru sana kwa hii gundu uliyoniachia. Umenifunga zako usiku ule nimelala nimeamka na nuksi+.
Mimi sio wa kucheza game 12+ bila kushinda 😂😑View attachment 3359904picha linaanza asubuhi nawasha tu data msela ananambia turuke, najaribu kumkwepa nikamuambia kuna mtu namsikilizia anatuma code, nashangaa code hizo akatuma yeye kuwa nicheze nae. Kanifunga mpaka nikamuambia utaniua 😑
Kilichoniuma sana, kuna mechi kama 2 kanifunga 3-0 yani nimetoka bila ya GG duh. Selikavu ndo chanzo!!!
View attachment 3359906
View attachment 3359913nimetoka kufungwa nikaingia group la masela chuo tukashauriana tuguse ligi fupi ya Eid al Adha inayoisha leo leo, mimi huwa ndo nawasimamia na kuwaandalia fixtures za ligi.
Mara nyingi huwa wananikataa nisishiriki ligi eti nawaonea sana 😄 leo nikang'ang'ania, imeniuma sana nimetolewa robo fainali na kibonde wa group ambae tumemrushia game juzi tu aysee, tena nje ndani haha😑
View attachment 3359915
Haya yote msababishi wewe Selikavu Na hii ni mbinu ya kukukimbia ila sikuambii 😄 mana sikuizi umeshanifanya teja unanifunga sana 😢 😅
🙌
We jamaa sio mtu mzuri kabisa😂😂😃😃😃Dah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap🤣🤣🤣
Mkuu nipe hongera kwanza kwa kukufunga maana kukufunga wewe inahitaji uwe na superpowers sio kww zile pasi🤣🤣🤣hizi nne bila tano bila kwako nimezila mno🤣🤣🤣View attachment 3359945
Akikukamia utatamani ukimbie room 😂🔥🙌Huyo jamaa sio mtu mzuri wallah😂🙌🏿
Pandisha kiwango division pale ukikosa opponent wa kwenda nae room😄 🤣Sasa me niwe nacheza na nani mkuu😃😃😃 Master Razorblade amesema hatuchezi wewe tena😃😃😃mnataka kiwango changu hichi kidogo kishuke🤣🤣🤣
Nioneeni huruma basi😃😃😃
Rudi aseeSawaa kaka ngoja Nije online
Kaka nilikuwa na game ya league huko na mshakaji ndo maana nilitoka chap...Rudi asee
Kaka😃😃na wewe tena si tulifungana lakin😃😃Huyo jamaa sio mtu mzuri wallah😂🙌🏿