eFootball Special Thread

Mzee wa kuchimbua makaburi πŸ˜‚.. hiyo umeitoa wapi?
Nilikuwa natafuta comment ya master Razorblade akiwa ananielekeza game.... Niliscreenshot kwa matumizi ya baadae ila nimeikosa...

Razorblade kumbe master wangu alafu namuelekeza tena🀣🀣🀣mwanafunzi sina adabu

Master shifuu Razorblade umeniispire sana kucheza Efootball bila wewe ningekuwa sijuiπŸ˜ƒhatubishani tena kuhusu anchoring hapa na mimi nataka nikampe Bastoni maana master ni master tuu akifanya kitu iga
 
Mikwara tu ile πŸ˜‚.. mlijaa nasoma mlivyokuwa mnachati pale mlikuwa mnamsaksia Negan kwangu, sema sikuziona eti ndo nazisoma leo.
 
Naweza hata nikastaafu game lakini wewe bado ni mwanafunzi tu kwangu ndiyomaana nimekwambia cheza sana friend match walau ufikie robo ya ubora wangu πŸ˜‚
 
Naweza hata nikastaafu game lakini wewe bado ni mwanafunzi tu kwangu ndiyomaana nimekwambia cheza sana friend match walau ufikie robo ya ubora wangu πŸ˜‚
Sawaa Shifuuu🀣🀣🀣🀣 nitajitaid naomba siku nipate game na wewe nipate tena mawili matatu ya kunifanya niwe proπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒnajua upo busy na wanafunzi wengi ila fanya kunikumbuka master i humbly submit
 
Huko DLS wamepelekewa Batistuta (BatiGoal) bana, afu eti anauzwa kwa pesa za halali eti Laki na elfu 7, na game lenyewe lile πŸ˜‚πŸ’”
View attachment 3359686BatiGoal ametrend sana hizi siku πŸ˜‚πŸ”₯
Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st halfπŸ˜€ second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal naeπŸ™Œ
 
Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st halfπŸ˜€ second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal naeπŸ™Œ
Ukikitana na mtu anaejua kumtumia vizuri huyo anakufunga hata akiwa haliangalii goli πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…