Timber anacheza position tatu pale RB, CB na LB kwakuwa ukitaka awe free unamuacha acheze Lb Yake ila ukitaka a steak kukaba unamweka upande wa Lb lakn unampa role ya Cb kwahiyo unakuwa na Cb watatu na Rb mmojaUnajua mpaka leo sijajua nipite na nani pale, Timber si ni RB lakini?
Aina nomaBooster zimeisha, halafu huyo hapo kakaa tu nikimpata naemtaka namtoa.
Poa, ila Theo anapiga kazi sana.Timber anacheza position tatu pale RB, CB na LB kwakuwa ukitaka awe free unamuacha acheze Lb Yake ila ukitaka a steak kukaba unamweka upande wa Lb lakn unampa role ya Cb kwahiyo unakuwa na Cb watatu na Rb mmoja
Huyu ni mama yangu kabisa
Pow lakn zintunze si next week wanaleta wenginePoa, ila Theo anapiga kazi sana.
Pamoja.Pow lakn zintunze si next week wanaleta wengine
Huangalii game??Pamoja.
Hiyo nusu fainal ys kipuuzi nilikuwa naifatilia kwa live score tu, nipo naangalia midoli yangu hapa inacheza event nimeweka AI controlled.Huangalii game??
Imeshaisha hapa Lamine Yamal for Balon d orHiyo nusu fainal ys kipuuzi nilikuwa naifatilia kwa live score tu, nipo naangalia midoli yangu hapa inacheza event nimeweka AI controlled.
Kabisa yani.Imeshaisha hapa Lamine Yamal for Balon d or
Chuma cha kazi hichi hapa... Kimepiga kazi sana leo kidgo tony Adams leo alikuwa anapitika😃😃My Batistuta, My Batigoal.
View attachment 3357508
Jana ulikuwa unanichezea huku umeng'ata mzizi asee 😄 huyo jana kanitesa sanaChuma cha kazi hichi hapa... Kimepiga kazi sana leo kidgo tony Adams leo alikuwa anapitika😃😃
View attachment 3357511
😂😂me nme komaa na 4-3-3 na 4-1-2-3 nje ya apo sijazoea kabsaNew formation in town View attachment 3357183
Jana ulikuwa unanichezea huku umeng'ata mzizi asee 😄 huyo jana kanitesa sana
Kukufunga tena kama jana nisahau 🤣🤣🤣New formation in town View attachment 3357183
Jana ulikuwa unanichezea huku umeng'ata mzizi asee 😄 huyo jana kanitesa sana
Umeona lakin hana kipa hapo😂😂me nme komaa na 4-3-3 na 4-1-2-3 nje ya apo sijazoea kabsa
Hahaha sema kweli nikiamua niweke beki 5 hakuna atakaefurukuta nakaba mpaka giza 😂Kukufunga tena kama jana nisahau 🤣🤣🤣
Sasa kama huna beki five unakaba vile mzee🤣🙌ukiweka me napita wapi😃😃Hahaha sema kweli nikiamua niweke beki 5 hakuna atakaefurukuta nakaba mpaka giza 😂