Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Sawa 😂🤣🤣🤣Nishasema nipo na wewe mpaka wakuue
Muulize Razorblade yeye tena anaweka Drogba na Batigoal mbele pale😃😃😃Naskia bro is too heavy in the game
View attachment 3354648
Aaah sema linakaa kwenye njia na mipira ya kichwaMuulize Razorblade yeye tena anaweka Drogba na Batigoal mbele pale😃😃😃
Ni pocher kaka playing style yakeAaah sema linakaa kwenye njia na mipira ya kichwa
Hawa ma goal pocher wamekua wengi sana saivNi pocher kaka playing style yake
Naskia bro is too heavy in the game
View attachment 3354648
Muulize Razorblade yeye tena anaweka Drogba na Batigoal mbele pale😃😃😃
😃😃😃Kila sehemu yupo tuuHii meme bila shaka inatosha kutoa jibu.
👇
View attachment 3354734
Kazi anayoifanya siyo ya kitoto 😂
Kwenye watu watano utakaocheza nao friend match hakosi 😂😃😃😃Kila sehemu yupo tuu
Aaah Alafu kufunga tizi😃😃au ni uzembe wangu mimiKwenye watu watano utakaocheza nao friend match hakosi 😂
Owen wengi wamemkimbia kwa sababu hana physical contact 😂
Striker wako mwingine ni nani ambaye anasimama na Owen?Aaah Alafu kufunga tizi😃😃au ni uzembe wangu mimi
Torres mzeeStriker wako mwingine ni nani ambaye anasimama na Owen?
Angalia kati ya Torres na Haaland yupi mwenye physical contact nzuri halafu mpe instruction ya counter target, akicheza na Owen ambaye atakuwa free itakuwa unyama.Torres mzee
Halaand pass mzee zimepita kushoto😃😃😃Angalia kati ya Torres na Haaland yupi mwenye physical contact nzuri halafu mpe instruction ya counter target, akicheza na Owen ambaye atakuwa free itakuwa unyama.
Ila nahisi Haaland atakuwa bora zaidi maana playstyle yake ni Target Man.
Hata Kane anafaa pia maana ni Deep lying.
Huyo ni target man, wewe wapange walau kwenye mechi 1 hata ya AI.Halaand pass mzee zimepita kushoto😃😃😃
Sawaaa Braza✊Huyo ni target man, wewe wapange walau kwenye mechi 1 hata ya AI.
Damn man🙌huyu jamaa ni complete package aseee🙌