Semaa hapo kati mzee Rodri na Kante ni pamoto๐View attachment 3353481
Tulikubaliana kuspin mwisho coin 100 wasipokupa basi๐๐๐ฎ
Ninunue kocha wa long ball counter au quick counter then nimcheki mtani๐
Huyo kante mzee ni kama ana zile booster za njano za compete package mzee anakaba adi vivuli na kila sehemu yupoHivi huyo kante ana maajabu gani?
Isijekuwa namsubiri kwa hamu alafu jau
TUwe tunampa Id zetu Gilberto ana spine kwa simu yake sawaa mkuu ๐คฃ๐คฃ๐คฃHapa ndo huwa sijisumbui, sina bahati nazo hizi epic ๐
Sema anaponda sana nitamzoea tuuKwangu huyo kwenye individual intsruction nampa counter target halafu namuwekea Mbappe au Torres, humu tu ๐
Tumeshakaa chini tumemaliza tofauti zetu kimagendo lakin๐๐๐Wewe na kutunza coin ๐ซฒ.........๐ซฑ๐
Unajua kazi ya Anchoring pale kwenye instructions lakn๐๐au twende match ukaona ninavyompita Tony adams...Ndiyomaana kwangu Tony Adams nimempa instruction ya anchor na Beckham nimempa defensive.
Adams hana speed kwahiyo hatopanda juu zaidi na Beckham atarudi chini kumsaidia Rodri wakati huo Rodri nimempa deep line.
Aah sawaa mkuu hakuna neno๐Kaka nipo huku Sengerema kila mtandao naotumia ni jau tu. Hapa toka juzi nacheza Division AI pale, ila kuna maeneo nikikaa 4G inasoma japo tukicheza haitomaliza 90'.
Uhakika wa kucheza friendly mpaka jumatano hivi nitakuwa nimeondoka huku.
Nimeona sema kwenye suggestions nikiandika tu Gu inaleta Guilberto kwahiyo naselect tu chap hapa kwemye keyboard yangu ๐๐๐๐๐ kaka nimebadili username saivi Gilberto_ tu. Mana mwanzo nilikuwa nataka niweke Gilberto kavukavu tu JF wakanikataa nikaamua nijiite Guilberto.
Nirudi kwenye hiyo mada ๐, wewe mwenyewe ulisema twende nikakukamie uwanjani na mi nikasema okay tukakamiane huo moto uliokutana nao mpaka ukaanza kuniambia natumia pads ๐๐๐
Kumekucha ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ Kuna mimi na Razorblade Nyota za Kunguni na panzi tumetumia Coin 800 hapo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Razorblade adi kawa Bankruptcy kabisa saiv ana negative pale konami wanamdai๐คฃ๐คฃ
Atalia ๐TUwe tunampa Id zetu Gilberto ana spine kwa simu yake sawaa mkuu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Halafu mpango wa kupata simu nyingine umefeli kaka ๐Sema anaponda sana nitamzoea tuu
Lingekuwa lipocher mzee๐๐คฃungekula week mbili kaka na simu yako mbovu๐๐๐
Kumpa istruction ya anchoring hainamaa huwezi kupita ila ninapomuhitaji kwenye line ya defense anakuwepo na hachoshwi kwa sababu haitamlazimu kufukuzana na mpinzani.Unajua kazi ya Anchoring pale kwenye instructions lakn๐๐au twende match ukaona ninavyompita Tony adams...
Anchoring kama sijakosea inamzui mchezaji kwenda sehemu ya mtu mwingine ๐๐kwa hiyo yeye anamove vertically tuu
Epic za bure lakini ๐ sijawahi kuwa na bahati kwenye zile epic za wachezaji 150 pale ๐คง.. nilimuoteaga mmoja tu yule Lamine Yamal aliletwa na kina Neymar big time baada ya hapo hata niweke coins 900 sipati kitu ko hata huwa sihangaiki nazo.TUwe tunampa Id zetu Gilberto ana spine kwa simu yake sawaa mkuu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ulichukua ngapi kaka? ๐Tumeshakaa chini tumemaliza tofauti zetu kimagendo lakin๐๐๐
Nimenunua hizi coin za kuiba sikuwa na namna๐๐๐
Kwa mi navyojua, kwenye game Anchorman ni yule ambae huwa hahami position yake, ko hilo eneo lote la katikati ni yeye tu analotawala. Afu pale kwenye individual instruction ukimpa anchoring tena ๐ฅ๐Unajua kazi ya Anchoring pale kwenye instructions lakn๐๐au twende match ukaona ninavyompita Tony adams...
Anchoring kama sijakosea inamzui mchezaji kwenda sehemu ya mtu mwingine ๐๐kwa hiyo yeye anamove vertically tuu
Halafu mpango wa kupata simu nyingine umefeli kaka ๐
Buku mbili kaka nimetumia 1600 leo nimechukua hiyo pack ya Man city wamekuja kunipa Rodri mwisho na Nimemunua Bellingham wa 800 kwa ajili ya kupata Nominating character zile za 5 nimebakiza mia nne๐๐๐nataka niende tena nikamchek jamaa anipe nyingine...Ulichukua ngapi kaka? ๐
Kwa mi navyojua, kwenye game Anchorman ni yule ambae huwa hahami position yake, ko hilo eneo lote la katikati ni yeye tu analotawala. Afu pale kwenye individual instruction ukimpa anchoring tena ๐ฅ๐
Kwanza hiyo ni attacking instruction inafanya kazi ukiwa na mpira tu haina effect ukiwa huna mpira una defend.View attachment 3353723
NEGAN mkuu tusaidie maelezo mazuri hapa naona kila mtu kaelewa kivyake... Razorblade ndo kabisa hajatoka na kitu...
Hii Anchoring inafanyaje kazi??
Aah shukran Mkuu๐Kwanza hiyo ni attacking instruction inafanya kazi ukiwa na mpira tu haina effect ukiwa huna mpira una defend.
Kazi yake mchezaji mwenye anchoring instruction ana baki kwenye position yake uwanjani hazururi kulia au kushoto ana make vertical movement tu(mbele nyuma) sio kulia kushoto.