eFootball Special Thread

Kwa sasa watanzania wengi watakuwa na vikosi kama wajapani maana kuna mchongo huko unatrend kama upo group la Whatsapp unaona🫵🙌
 
Wakuu leo nimepewa hiki kikosi free na jamaa yangu yeye amesema anataka akomae na kikosi kingine pekee smbacho alipata epic watatu juzi hapa kwa hiyo hichi hakihitaji nikamwambia nipe 😃😃😃


Nipe maoni yenu maana nina account mbili tayali ila hii nzuri ina card ambazo nilizisaka kwa spine nikakosa...

Reserve hakuna kitu mshkaji alikuwa anauza apate booster😃😃🙌nawaza nikiache kile cha japan nikiendeleze hiki

Maoni yenu
 
Screenshot na cha kwako tu rate
 
Kwa hisani yako naomba unipatie hiki kikosi mkuu na mimi nimiliki vikosi viwili.

NB: Nimekipenda kwa sababu ya Bastoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…