Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,787
- 12,063
Uvumilivu wako mdogo wewe utaitupa chini ๐Ukikosa njoo uchukue yangu kaka nipe yako๐๐tuwe tunacheza
Na hao mabeki wenyewe wapo sambamba na kipa ๐Ana bonge la ukuta mbele ya mabeki๐คฃ
๐๐๐ NitajikazaUvumilivu wako mdogo wewe utaitupa chini ๐
Unajua kuna wakati natoka nyuma vizuri ila nikifika karibu na eneo la mpinzani inaanza kuganda kuja kukaa sawa nishaporwa mpira ๐๐๐๐ Nitajikaza
Pole sana ๐๐Unajua kuna wakati natoka nyuma vizuri ila nikifika karibu na eneo la mpinzani inaanza kuganda kuja kukaa sawa nishaporwa mpira ๐
Kumbe familia wote tunapenda kukaba๐๐คฃ.Mabeki wangu wanalindwa hapa penyewe nataka nianze kumchezesha Pedri kama CMF na sio AMF maana ni Box to Box ningempata na Sablozai mbele ya namba sita wangu Wanakaaa box to Box wawili mbele wapo na nyuma wapo....๐คฃ๐ซต
Hole player na creative playmakers kuwachezesha AMF kwenye timu yangu hapana aseee hawalud kukaba
Naludia napenda kukaba๐๐๐
Defensive fullback wawili๐ peak Haram ball๐Nikipata defensive Fullbacks mbili Anchorman wawili... Mabeki wangu wa kati nikapata destroyer mmoja...
AMF wangu Box to Box...
Namba tisa wote wawili Goal Poacher๐๐ซต wote hapa. Wanaanza kikosi cha kwanza itakuwa super team kwangu.... hapo nitakuwa nimekamilika aje yoyote๐๐๐๐ formation 4222
๐๐๐Me nasema humu kila siku napenda kukaba๐๐๐Kumbe wote tunapenda kukaba๐๐คฃ.
Mimi napenda kukaba kuliko kushambulia๐. Mpinzani wangu akitoka na shot on target chini ya 3 najipongeza๐๐๐๐Me nasema humu kila siku napenda kukaba๐๐๐
BAsi tuu bado sijui vizuri
Napenda hiyo๐๐me bado nipo Analogy au old football maswala sijui ya inverted full back anakuwa middle hapanaDefensive fullback wawili๐ peak Haram ball๐
Kuna kafeeling fulan hivi huwa najiona mwamba๐๐Mimi napenda kukaba kuliko kushambulia๐. Mpinzani wangu akitoka na shot on target chini ya 3 najipongeza๐
Wewe unajisahaulisha kuwa umeweka beki zako karibu na kipa ๐Mill broh kaka simu imebakiza 5 hapa ngoja niweke chaji baadae tutaenda
ila kaka fanya Fanya basi upunguze hata DM mmoja nije mbele kwa uhuru ๐คฃ๐คฃView attachment 3348984
Kupanga ni kuchagua...๐๐๐Wewe unajisahaulisha kuwa umeweka beki zako karibu na kipa ๐
Sijawahi jaribu possession ๐. Lakini kwenye possession ni ngumu kutengeneza nafasi sababu wachezaji hawakimbii mbele haraka kama quick counterNEGAN mkuu iv unaweza ukaweka possession Game alafu ukawa unatumia Counter๐๐๐
Nimeona kama possession game ina kitu fulan hivi
Nimeona kama mabeki wanabakia kwenye shape tofauti na quick counter wanasogea mno through pass zikipigwa zinawapitaSijawahi jaribu possession ๐. Lakini kwenye possession ni ngumu kutengeneza nafasi sababu wachezaji hawakimbii mbele haraka kama quick counter