Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,923
- 12,355
Kipindi cha mpito namaanisha kile cha kupigika hovyo kila kona 😂Ndo maana hata sijapost kuna siku nikikikufunga najua hapa simu yake bomu hakuna kitu anafanya😃
Kipind cha mpito how?? Unabadili tambo au unapotea mazima
Pole sana na vile me sina fair kwako ni kuponda tuu😃😃🫵Kipindi cha mpito namaanisha kile cha kupigika hovyo kila kona 😂
Oya hii simu siisemi vibaya kwa game mpaka dakika hii imenistiri ila ni changamoto, nilikuwa natamani kuforteit lakini hatujagusa muda nikaona bora tucheze tu.
Nakujua mbona na ndiyomaana sikuforteit ila sasahivi unajuajua 😂Pole sana na vile me sina fair kwako ni kuponda tuu😃😃🫵
Sichezi na wewe mpaka ubadili simu unaniharibia kiwango 😃😃😃Nakujua mbona na ndiyomaana sikuforteit ila sasahivi unajuajua 😂
Drogba wa pili🫵🤣View attachment 3347184konami nao😂😂
Ushenzi ni kwamba card moja ikipata red card ni wote🤣🤣🤣Wanazingua au mmoja ndo akipata red card🙌🏿
Tafuta Booster token hizoNiuze tu chap😂
Hapo unamtoa mmoja ili upate selection booster 😂View attachment 3347184konami nao😂😂
Najua huwezi vumilia kuniona online na usitume invite 😂Sichezi na wewe mpaka ubadili simu unaniharibia kiwango 😃😃😃View attachment 3347172
Unafikiri wewe ni Epic kama nikiona tu na spine 🫵🤣sikutumiii mzeeNajua huwezi vumilia kuniona online na usitume invite 😂
Poa na ukituma nascreenshot halafu siingii 😂Unafikiri wewe ni Epic kama nikiona tu na spine 🫵🤣sikutumiii mzeeView attachment 3347313
Naku unfriend simple tuu🤣🫵Poa na ukituma nascreenshot halafu siingii 😂
Ubaya ubwela 😂Naku unfriend simple tuu🤣🫵View attachment 3347323
Kwann niteseka🤣Ubaya ubwela 😂
Haya kazi njema 😂Kwann niteseka🤣
Na kule Efootball natafuta namna nisiwe naletewa zile banners za Epic kwenye home secreen maana zinanichanganya😃😃