eFootball Special Thread

Nipe mkuu nikusaidie kuspine😃😃
Mkuu kile kipindi cha mpito kwa sasa kinaishia 😂, hongera kwa ushindi back to back.

Nakuheshimu mpinzani wangu uko vizuri ila endelea kutrain 🏴😂, bila kisingizio game kwangu inalag sana lakini kwakuwa wewe ni mpinzani nacheza hivyohivyo ila takwimu naimani unazo.
 
Ndo maana hata sijapost kuna siku nikikikufunga najua hapa simu yake bomu hakuna kitu anafanya😃


Kipind cha mpito how?? Unabadili tambo au unapotea mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…