Sasa una mark mpaka CMF πHuyu ukiingia uwanjani unammark mapema tuu
Mapema ni saa 9 hiyo kwakoππDah hata mimi nalala mapema,ππ
Sio CMF Box to BoxπππSasa una mark mpaka CMF π
Hamna huyo pro sasahivi πAtakusimanga sanaπ
Sasa mbona hapo pa kawaida na Pana julikana, Kama uko karibu nenda mgahawa wa karibu na zahanati uchwara ulizia digidigi uta kula bure.Malimbe karibu na SAUT njia ya kwenda Luchelele
Haha nampiga Deep Line ili nikufunge vizuri kabisa π beki zako zikifocus na huyo unakuwa umeuponzaSio CMF Box to Boxπππ
Ukute wanawafata wahindi wa kisukuma πWatu mnaijua mwanza aseeeπππ
Hahaha kumbe wazawa wengi humuSasa mbona hapo pa kawaida na Pana julikana, Kama uko karibu nenda mgahawa wa karibu na zahanati uchwara ulizia digidigi uta kula bure.
Atajua mwenyewe ππ kwani ni wantedGuilberto hiyo post yenye jina lake Razorblade futa....
TISS hawapend majina yao ya Efootball yaonekaneπππ
Umelicheza hilo ulimaliza level zote??Labda Lara Craft π
Mbona nimemtoa aliyeingia.We jamaa msaliti, yani ushazama na mtu tayari View attachment 3344386au huyo KingMukhi sio wewe π
We kichwaa mapema ni saa sita mzeeπ€£π€£π€£We mbwa si uli sema usiku mwema?, au ndio mbwembwe za kihaya π€
Oya bado unachati na nimekuona kule unacheza π sio bure we umekimbia room auUkute wanawafata wahindi wa kisukuma π
Naingia tena.. mi niliona bado upo kwenye mechiMbona nimemtoa aliyeingia.
Mkuu hiyo post hapo ifute aisee kuna watu humu wanalijua hilo jina utakuwa umeniweka matatani πAtajua mwenyewe ππ kwani ni wanted
Aah sawaa mkuuMagu
Natumia simu 2 tofauti mkuu, halafu mie mbona sikuoni.Oya bado unachati na nimekuona kule unacheza π sio bure we umekimbia room au
Kaka nipo hapa sema uzuri najua kunywea nitakuwa mpole kama sio mimiπππAtakusimanga sanaπ
Asante muheshimiwa RaisπSasa mbona hapo pa kawaida na Pana julikana, Kama uko karibu nenda mgahawa wa karibu na zahanati uchwara ulizia digidigi uta kula bure.