Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,923
- 12,353
Sawa ๐Me mshamba kaka natokea Geita vijijini ndani ndani huko๐๐
Mwendo wa phenomenal finishing.Nawasalimu kwa jina la Batistuta
Konami๐Dah nimespin 20 nimeambulia patupu๐ round hii sina bahati
Yani hii ni kama mimi, ila bado ninao maana wamekula coins 100 zangu ๐Konami bhana kwenye hii challenge ya Barcelona nilikuwa namtaka kounde na Cubarsi wananipa pedri Raphinha na Lamine kwel me nawapeleka wap sasa wakati ninao
Nilisema mimi ๐Dah nimespin 20 nimeambulia patupu๐ round hii sina bahati
Pedri wangu wa live boster namkubali mno๐๐๐ashafika zake 101De jong, Pedri na Kimmich kila wiki wana A au B form. Wana balaa sana.
Ulispine mia??๐๐Yani hii ni kama mimi, ila bado ninao maana wamekula coins 100 zangu ๐
Owen imekuaje tena๐Baada ya kuambulia patupu nimefanya selection yangu tayari
View attachment 3341880
Simuhitaji tena anafanana kila kitu na mbappe tofauti yeye ni Epic๐. Nakata ana fit mfumo wangu mpya ubavu wa kuliaOwen imekuaje tena๐
๐๐๐Sawaa mkuuSimuhitaji tena anafanana kila kitu na mbappe tofauti yeye ni Epic๐. Nakata ana fit mfumo wangu mpya ubavu wa kulia
Basi odo naenda nayeSubiri hadi siku ya mwisho ufanye selection. Nakata overall ni mzuri lakini kwa mtu ambaye hana full back epic na ashampata Owen/Batistuta ni vizuri kumchukua Oddo