Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,872
- 12,230
Huyo jamaa hajanijibu mpaka leo ๐We hichi kikosi hakifiki tuu๐๐
Hata siendi leo game ya presha sana hii๐Bora nifungwe kwenye game lakini nipate utulivu Moroco ๐
Hii imeendaHuyo jamaa hajanijibu mpaka leo ๐
Acha woga mkuu hizi za presha ndo nzuri maana ikitokea umeshinda vibe lake siyo la kawaida ๐Hata siendi leo game ya presha sana hii๐
Leo nipo hoi siku ilikuwa ndefu sana nisijefia banda umiza Kaka nitaangalia tu kwenye simuAcha woga mkuu hizi za presha ndo nzuri maana ikitokea umeshinda vibe lake siyo la kawaida ๐
Kwenye simu siwezi aisee maana naweza itupa ๐Leo nipo hoi siku ilikuwa ndefu sana nisijefia banda umiza Kaka nitaangalia tu kwenye simu
Ubaya Ubwela ๐๐๐Sawa kaka
Ile siku Ahoua anakosa goli Zanzibar dakika za jioni nilitupa simu chini sema haikupasuka๐๐Kwenye simu siwezi aisee maana naweza itupa ๐
Ile siku acha ibaki story tu ๐Ile siku Ahoua anakosa goli Zanzibar dakika za jioni nilitupa simu chini sema haikupasuka๐๐
Acha tu mkuu anyway tulivuka...Ile siku acha ibaki story tu ๐
Siwezi angalia mpira huo ๐๐๐natafuta wa kwenda kama upo twendeAngalia mpira wewe๐
Nipo live nashuhudia kifo cha Simba๐Siwezi angalia mpira huo ๐๐๐natafuta wa kwenda kama upo twende
๐ ๐ mwenyeji niko morroco kaka ๐๐Sawaa kaka kama hautoenda kwenye game ya Simba tupande mida hiyo
Aseee๐๐Nipo live nashuhudia kifo cha Simba๐
๐๐๐Aya niende Whatsapp sasa nikatafute๐ ๐ mwenyeji niko morroco kaka ๐๐