eFootball Special Thread

Wakati nahamia huku ulisemaje mkuu🀣🀣🀣
Mkuu mimi nataka kucheza mpira mzuri, nimefanya kusudi kujaribu huu mfumo na wale watoto wa afu 2 nineona inapatikana nafasi ya mimi kucheza πŸ˜‚
 
Mkuu mimi nataka kucheza mpira mzuri, nimefanya kusudi kujaribu huu mfumo na wale watoto wa afu 2 nineona inapatikana nafasi ya mimi kucheza πŸ˜‚
Unahama mno mifumo... Ukitulia huu tulionao hata ukufungwa miaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…