Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,557
- 11,367
Mkuu hivi kwa mpira wa city na hao barca unaweza sema ile ni possession lakini mie nakataa maana ile speed ya kushambulia ni kisanga πTeam ya Guilberto na Batistuta wake ππ(jokes)
Barcelona, city
Kwa mi naona Utofauti unakuja kwenye kutengeneza mashambulizi..Me possession game kuna kitu ambacho ni tofauti na mifumo mingine nimekiona siku hizi ngapi ninapocheza na watu wengine...
Me alonso ana Possession game 88 na Quick counter 88 kwahiyo nashift tu huku ama hukuπ
Kwishaa πSi inakuwa umejaa kwenye mfumo π
Umezidi kunishawishi kumchukuaBastituta finishing yake ππ₯
Game zetu ilishakua kama simba na yanga unashangaa tu umefungwa au umeshindaππHiyo siyo guarantee kwamba ndo itakuwa hivyo, nikipoteza au ukipoteza zote 3 je?
π
Possession game ile kaka umiliki mpira muda mwingi suka goliMkuu hivi kwa mpira wa city na hao barca unaweza sema ile ni possession lakini mie nakataa maana ile speed ya kushambulia ni kisanga π
Mkuu yule mjapani naona wanamsifia.Umezidi kunishawishi kumchukua
Na kukazuia mipira ni kama wachezaji wanakuwa na sumaku mzeeπππKwa mi naona Utofauti unakuja kwenye kutengeneza mashambulizi..
Nitamiliki mpira kwa QC hiyo Possession siiwezi.Possession game ile kaka umiliki mpira muda mwingi suka goli
Nimekutana na clip wanamcompare na Wesley SneijderMkuu yule mjapani naona wanamsifia.
Hakuna shida ππNitamiliki mpira kwa QC hiyo Possession siiwezi.
Sasa tamanishwa na Batistuta uache mtu wa maana πNimekutana na clip wanamcompare na Wesley Sneijder
Hapana kwa sasa nacheza na Attacking wawili ambao ni beckham na Pedri... Naona hapana shida pale sana pia sub ni pale mbele Kane mchezo wangu umemkataa... Anacheza mechi zako sana kwa sababu ya Tony adams ana nguvu mno mbappe hatoboi πππSasa tamanishwa na Batistuta uache mtu wa maana π
Binafsi nina mtu naingia kugusa nae sio muda nikimalizana nane tutaenda...Nipate mdau online tuchuane
Weka user nameNipate mdau online tuchuane
Chukua right back mkuu yule. Kupata right back epic ni kazi tena yule ana edge crossNdo maana bora nichukue Batistuta nikimuacha huyo basi nakata
Duuh mnazidi kukiwasha kichwa motoπππChukua right back mkuu yule. Kupata right back epic ni kazi tena yupe ana edge cross