eFootball Special Thread

Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chuma😅
Kuna msela wangu huwa nacheza nae ana mchezo kama huo, yeye kwenye kukaba mbovu ko anaingia na defence bar 1, beki na DMF 2 wale watatu wa mbele ni Mbappe, Villa na Vini 😂

Jamaa huwa ananifunga magoli mazuri mno mbovu kwenye defensive lakini akishambulia sasa mzuri mno kufunga.
 
Afu kuna sisi wabovu kote kote😃😃
 
Wanataka kila mechi uwe serious ili usikubali kudondosha alama, kunazidi kuwa kugumu huko.
Division sichez tena mpaka nijione nipo kamili na nikifika division one sitocheza tena kabisa...

Me ni mwendo wa friend match kuna group nimepata wadau kila muda code zinaombwa😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…