eFootball Special Thread

Owen mbona kama wa mchongo at least torres ana nguvu
Hapana kaka umewasha full blue ndo maana hawezi onekana...

Game ya kwanza ambayo ulicheza bila full blue kakufunga na kakusumbua ila hizi zilizofata hapo utamuonea tuu hana physical contact maana muda wote yupo na mabeki...hapati nafasi ikabid niwe namtumia tuu torres
 
Sema physical contact inasaidia sana. Owen anakuwa vizuri mpaka asiguswe na beki
 
Sema physical contact inasaidia sana. Owen anakuwa vizuri mpaka asiguswe na beki
Yeah ni mzuri kwa Quick Counter semaa sasa full blue mzee hiyo Quick Counter hutoboi😃😃 mabeki wanakuwa kwenye position kila muda
 
Leo meingia tuu kwenye game asubuhi nikapata invite ya Mill broh nikaona okay hii ndo nzuri kichwa kimetulia nguvu ipo acha nikacheza mpira...

Game ya kwanza nikambahatisha
Kilichofata baada ya hapo ni huzuni


Baada ya kufungwa Nne nikaona hapa nisipojiongeza nitakula week nikaona solution ya haraka haraka nibadili nitoke kucheza Quick Counter niende possession maana game mzee anawasha full blue game ikianza na mnajua mpira wangu ni wa kuvizia😃😃

Atleast hii ikanilipa nikashinda game moja

Ya pili mwishoni nilipigiwa simu ila nilikuwa naongoza mbili bila


Mzee Mill broh nionee huruma basi uwe unawasha hata moja inanitosha😃😃😃
 
Kama unae Drogba muweke acheze na Owen nahisi itakuwa pacha nzuri, nafikiria kufanya hivyo.
 
Hizo mechi 2 sasa shuti 1 tu na shuti lenyewe ni off target 😂
 
Sasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly 🤧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…