eFootball Special Thread

Vipi Owen ana maajabu gani kabla sijafanya maamuzi. Kuna jamaa nimekutana nae ana Owen kwenye league hajapiga shoot hata moja😅
Mwamba anapiga kazi bhana😃😃basi tu magoli ya pvp et hawahesabu... Sijui ila me ananipondea sana watu alafu ana speed kwa Qc ni mzuri mno..


Me ni mwendo wa through tuu..


Owen hana physical contact kwahiyo hawezi kukaa na mabeki eti atumie nguvu hapo utamshinda... We ni counter wakimbizane utamwona mzuri
 
Selikavu nimekagua kikosi changu vizuri nimekuta Anchor Man wanne, wawili wanafika 98, mmoja anafika 94 na huyo Rodri 99.
Me hata wa POTW wa 97 kwangu angeanza aseee except Rodri tuu wa standard...

Nahitaji Anchorman..

Nikipata wawili pale kati wakasimama😃😃😃 sijui mtapitia wapi...


Me sitomweka na Orchestor sijui amna... Ni kazi kazi Anchorman wawili kati wenye through passing basi
 
Uwe unapita kuangalia kule kwenye nominating contract.
 
Nimekutana na mtu ana Batistuta bhana halafu anacheza kama wewe akilitazama goli tu anatandika shuti 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…