eFootball Special Thread

Huyu mbona mchovu sana 😂
Yan nilishangilia maana nikikumbuka Musiala wako anapiga sana kazi...

Sema sio mbaya nimechukua Mac allister wa nominating character

Card ya kane ya pale usijloge ukaiacha ile ya nominating character tuliyopewa mwezi ulioisha

Kane wa nominating ana one touch pass pamoja na through passing huyu hola
 
Mbona hiyo card ya Kane ninayo kitambo tu.
 
Vipi Owen ana maajabu gani kabla sijafanya maamuzi. Kuna jamaa nimekutana nae ana Owen kwenye league hajapiga shoot hata moja😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…