eFootball Special Thread

Nimegundua jinsi ya kukufunga

Sitakiwi kucheza mpira mzuri dhidi yako kutumia mawinga sijui nini. Pia sitakiwi kupoteza mpira kati kati ya uwanja maana ukiupata mpira kati kati pedri/ De jong anapiga through ball moja kwa Torres/Mbappe/Owen kisha wana turn then boom😀.

Solution ni kutumia mipira mirefu na through ball kwa ma forward wangu pia ku overload forward kwa kutumia striker watatu ambao huwezi ku wa mark wote.
 
😃😃Mbona kama unataka kunipiga hamsa kaka🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…