eFootball Special Thread

Aisee kweli nimemjaribu drogba wa my league jamaa ni mzito kinoma alafu naambiwa anafanana na Batistuta.

Mpaka sahizi sijapata uchaguzi bado
Mie huwa naenda kutazama video kwa Mednasah(YouTube) kabla sijafanya uamuzi.

Ila bado naenda na Batistuta, siwezi acha phenomenal finishing mimi hayo mengine nitajua nafanyaje nikiwa nae πŸ˜‚.
 
Naona Batistuta wana mkataa kwenye mfumo wanguπŸ˜‚ila mwaka wa kuforce atakaa tu
Kuna video jamaa mmoja amepost reddit anasema alikuwa anacheza mechi ya dvn alikuwa anaongozwa 3-0 ila kwa msaada wa Batistuta akapiga comeback na goli zote kashinda yeye na playstyle yake ni QC.
 
Wakuu nimekuja na majibu ya hii selection nimechoma bando huko YouTube kwaajili yao πŸ˜‚.

Kama una David Villa(104) haina haja ya kumchagua Owen na kama una Fernando Torres yule wa coins 500 basi haina haja ya kumchagua Batistuta kwa sababu aina ya uchezaji wao inafanana.

Nimebadiri gia angani, Torres ninae kwahiyo naondoka na Owen πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Semeni moja basiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒme nachukua notes mjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…