Huu me nakussuport utashika vizuri kwa sababu upp balanced unakupa watu wengi kushambulia na pia katikati wapo..Mie natapatapa tu sasahivi mpaka nikae sawa nishapigika sana π
Kuna video nimeikuta huko ila nimeshindwa kuipakua hayuko vibaya muwekee tu watu wazuri wa kumsaidia utaona matunda yake.Mzuri mno.. ila wanasema ni mbovu kwa Quick Counter ndo mana najaribu kumtumia kwenye possesion ball ndo anakuwa mzuri zaidi.
Hata waseme nini napita na Batistuta πView attachment 3332822
πππ strength na weakness zao
Beba huyohuyo πDuh... Nataka hiyo phenomenal finishing kwa hali na maliππ
Anafunga hadi raha.. na ana kicking power 96 π₯πKuna video nimeikuta huko ila nimeshindwa kuipakua hayuko vibaya muwekee tu watu wazuri wa kumsaidia utaona matunda yake.
Pamoja.Huu me nakussuport utashika vizuri kwa sababu upp balanced unakupa watu wengi kushambulia na pia katikati wapo..
Pia huu haujapishana sana na 4-3-1-2 kwa hiyo hautokusumbua sana... Hapo ni kutafuta mbdala wa Messi tuu
Wangempa hiyo LBC hata 85 basi, ila huyu siyo rahisi kuja peke yake.Alhamisi hiyo, Quick counter 89 πView attachment 3332844View attachment 3332841View attachment 3332842
Sana aisee yuko njema sana siwezi muacha πAnafunga hadi raha.. na ana kicking power 96 π₯π
Mna ushawishi hadi naanza ku question choice yangu ya OwenπAnafunga hadi raha.. na ana kicking power 96 π₯π
ππ hamna kaka we nenda na chaguo lako tu.. mana huyo Bastituta kanyimwa mwendo, Owen kama kipanga akipata mpiraMna ushawishi hadi naanza ku question choice yangu ya Owenπ
Dah ngoja tuone kama tutaambulia chochote kwenye selection πππ hamna kaka we nenda na chaguo lako tu.. mana huyo Bastituta kanyimwa mwendo, Owen kama kipanga akipata mpira
Nimechezesha pacha ya David Villa na Owen niliipenda bure nilienda game 9 straight division matches pale bila lose wala sare.
Sawa mkuu π βοΈDah ngoja tuone kama tutaambulia chochote kwenye selection π
Huyu mbona ananishawishi...πAlhamisi hiyo, Quick counter 89 πView attachment 3332844View attachment 3332841View attachment 3332842
Kwan mchezaji anajuaje hapa nachezea QCπ€£π€£π€£Beba huyohuyo π
Mbona ulishahama mkuu baada ya kuona kuwa Batistuta ana phenomenal finishingMna ushawishi hadi naanza ku question choice yangu ya Owenπ
πππ nimecheka kifalaKwan mchezaji anajuaje hapa nachezea QCπ€£π€£π€£
Wasitutisheπ€£π€£π€£πππ nimecheka kifala
Yaani ni hatari nabadilika kama kinyonga π. Solution Konami wanionee huruma wanipe mmoja kabla ya spin kuishaMbona ulishahama mkuu baada ya kuona kuwa Batistuta ana phenomenal finishing
Aisee kweli nimemjaribu drogba wa my league jamaa ni mzito kinoma alafu naambiwa anafanana na Batistuta.ππ hamna kaka we nenda na chaguo lako tu.. mana huyo Bastituta kanyimwa mwendo, Owen kama kipanga akipata mpira
Nimechezesha pacha ya David Villa na Owen niliipenda bure nilienda game 9 straight division matches pale bila lose wala sare.