Muache atakurudiaKwann unamkimbilia Edo kissy wakati nipo hapa😃😃😃
Edo atacheza na Negan me nipo na wewe mpaka ukimbie🤣🤣🤣🤣
Twende RoomView attachment 3332104
Ni kipindi cha mpito tu hiki mkuu atajaa tu kwenye 18 huyu 😂Mpige 5 urudishe heshima😃
Mkuu ulisoma mkeka nilioandika kuhusu udhaifu uliopo kwenye timu yangu nini maana huko pembeni na kunidondoshea mipira nyuma ya mabeki umewin sana 😂View attachment 3332133mkuu Razorblade bundle liliniishia tutaendelea kesho.
Weka username kwanza mkuu.Kama uko free lete code
Poa.Bundle lilikata mkuu matokeo yaweke.
Toa maoni yako kwa ufupi mkuu nipo katika jitihada za kurejesha kiwango changu.Hapana mkuu ni formation tu na ndo maana nimemuweka salah pembeni.
g77autoWeka username kwanza mkuu.
Kati umefika ila umepita mara ngapi?Kuna mda hapo kati papo wazi sijui kisa formation yako. Kipa huyo dadeq kachomoa shots kama 6 hivi za mbappe🔥
Poa, utaona friend request huko za kutosha.g77auto
Mkuu kumbe nawe pia ni mwanachama, nilijua unatupa madini ya series tu kule jukwaani.Nime toka kuki chafua ps 4, Aston villa vs man city league.
Game one nili shinda 3-2, game 2 3-0 man city kapata 1 shot on target.
Haaland kafichwa