eFootball Special Thread

Hii mechi sielewi nachocheza aisee.
Selikavu
Katika siku ambazo umecheza hovyo ni leo kaka hio formation nadhan umeona kati kulikuwa hakuna watu kabisa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ushauri wangu ludi ulipo pazoea tuu messi sijamwona game zote

NB: uliyonifunga nilikuwa naongea na simu concentration ilikuwa ndogo kaka

Ila nilitaka kukuonesha huu mfumo sio nishinde mechi zote...

Japo mwenyewe nimecheza mpira wa hovyo sana makosa nimefanya mengi mno
 
Selikavu weka matokeo, umeongeza ujuzi pakubwa sana mkuu.

Nimekuwa mzito na sijui shida nini, wiki nzima nahisi kuna vitu vimepungua kwangu au sijui sababu sichezi friend match nyingi yani sielewi.
 
Selikavu weka matokeo, umeongeza ujuzi pakubwa sana mkuu.

Nimekuwa mzito na sijui shida nini, wiki nzima nahisi kuna vitu vimepungua kwangu au sijui sababu sichezi friend match nyingi yani sielewi.
Kama umecheza sana na Ai kuna uzito fulani unakujaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Matokeo ya leo siweki ni dhahama.. plus sijfeel kama nimeshinda naona kama tulikuwa tunacheza ndondo kaka mpira wangu haueleweki na wako vile vile
 
Mkuu shida siyo mfumo unajua kitu ambacho nyie mnaona kimebadirika hapo ni AMF kusogea juu tu.

Kwanza nikupongeze umeongeza ujuzi pakubwa sana.

Pili hii wiki mechi zote nazocheza hata kwemye events najiona tofauti kabisa, kuna siku nilitaka kuuliza hapa shida ni nini lakini nikavunga.

Maboko ni mengi, pasi mbovu, katika mechi zote ni magoli machache sana ndo umepita kati.
 
Kama umecheza sana na Ai kuna uzito fulani unakujaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Matokeo ya leo siweki ni dhahama.. plus sijfeel kama nimeshinda naona kama tulikuwa tunacheza ndondo kaka mpira wangu haueleweki na wako vile vile
Mbona umecheza vizuri tu mkuu, hata AI sichezi sana wiki karibia yote hii nawaachia wacheze wenyewe ni kama vile sijakuwa na mood nzuri na game wiki hii.
 
Amna mpira niliocheza leo ndo maana nimesema me pia nimecheza hovyo... Basi tuu umeshindwa kugeuza maboko yangu kuwa magoliπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mbona umecheza vizuri tu mkuu, hata AI sichezi sana wiki karibia yote hii nawaachia wacheze wenyewe ni kama vile sijakuwa na mood nzuri na game wiki hii.
Unanona nimecheza vizuri kwa sababu nimekufunga ila umepata chance nyingi sana kipa kaniokoa au umezembea kufunga...

Mimi wa kufunga kwenye kona kwelπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kwanza ile ya kwanza nikajua utani,,, nashangaa na game nyingine nakupiga goli la kona nikaona hapa. Leo huyu hayupo form
 
Amna mpira niliocheza leo ndo maana nimesema me pia nimecheza hovyo... Basi tuu umeshindwa kugeuza maboko yangu kuwa magoliπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Napenda kushinda nikiwa ndani ya box ndiyomaana, inabidi sasa niwe najaribu kupiga hata nikiwa nje ya box.
 
Hata mimi nimeshangaa nikaishia kucheka tu πŸ˜‚

Kila nikitumia LBC unanjfunga goli nyingi, NEGAN anakosa muda wa kunipa ufundi wa hii tactic.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kaka nitakuonesha kuwa huo mfumo mgumu kwako kesho tena
Nitakomaa nao tu, huu mfumo ni nafasi ya 2/3 kwenye top 5 ya mifumo bora kwenye update ya mwaka 2025.

Na uzuri wake ni uleule naosema siku zote idadi kubwa kwenye kuzuia na kushambulia pia.

Ni mimi mwenyewe tu sijakuwa kwenye form nzuri na hii huenda ni kwa sababu ya kutocheza friend match mara kwa mara.

Mara ya mwisho nimecheza mechi ilikuwa na wewe na hapo pia kuna siku kadhaa zilipita bila friend match nilikuwa nikicheza dvn tu.
 
Ulienda kuchek tutorial πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Jana nimemwambia kuna shimo kubwa hapo kati ukim bait amrabat a press halafu ukapigq pass nyuma ya Amrabat unabaki na mabeki tuπŸ˜ƒ
Mkuu huu ndo uleule mfumo ambao uliniambia nikiushika nitashinda sana sasa sijui wapi pamebadirika πŸ˜‚.

Selikavu aje aseme hapa kama amenifunga kwa kupita kati, nilienda kwenye mechi kuangalia hilo tobo mnalosema lakini sijaliona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…