eFootball Special Thread

Oya wakuu leo nimekuwa na bahati mno, nina acc mbili nimeingia mchana kucheza events nikaspin nikampata Owen πŸ˜„ hapo hapo nikaswitch kwenye acc nyingine kaupepo kasiishe 🀣 nikaenda kucheza events spin 2 nikampata Bastituta daah hapa sina kesi nao tena
 

Attachments

  • eFootballβ„’_2025-05-11-13-36-13.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • Screenshot_20250511_130353.jpg
    1.2 MB · Views: 6
Ngoja tuone ila ukitaka kutumia dmf mmoja inafaa Anchorman au orchestrator. Box to box anazurura sana kuna shimo hapo kati kubwaπŸ˜ƒ kumbuka hao LMF na RMF wanapanda wanamuacha Amrabat peke yake na
Mkuu kwenye kuchezesha DMF mmoja orchestrator ndo hovyo kabisa.

Mtu anaetumia possession game akiwa na DMF orchestrator haitakuwa na shida ila kwa QC na LBC B2B au anchorman ndo wanafaa.

Napenda kutumia B2B sababu anapanda na kushuka kwa wakati bila kuchoka.

Mechi kadhaa nilizocheza na Selikavu alimuona Amrabat juu nikiwa nashambulia na chini akiwa ananishambulia.
 
Mzee wa box to boxπŸ˜ƒ najuta kumchua Kolo Muani kila siku ana D formπŸ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…