Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,956
- 12,412
Humu tu πHaya hapa mkuu π π₯View attachment 3330624View attachment 3330623
Huyo hafai kukaa peke yake sasa tabu yote ya nini πUmemjaribuπ
Ngoja nizoee formation yangu mpys japo inatofauti ndogo na niliyokuwa natumia.Panga ratibaπ
Namsubiri na yule GK wa daily rewards maana nae ni Defensive.Kamtolea penati moja hapo nikashinda mie
Mbona mengi yapo humu au sijaelewa ulichomaanisha?Weken data wakuu tuchukue mali
Midfielder mkabaji mmoja tena box to box utaoga magoliπ
Unamweka tuu mbona anapiga kazi chafuπHuyo hafai kukaa peke yake sasa tabu yote ya nini π
Umebadilisha tena formation ππNgoja nizoee formation yangu mpys japo inatofauti ndogo na niliyokuwa natumia.
Yule Victor Baia anadaka yule falaNamsubiri na yule GK wa daily rewards maana nae ni Defensive.
Twende tukaujaribuπππ
Data ipi mkuu??Weken data wakuu tuchukue mali
Amrabat anajitoshelezaMidfielder mkabaji mmoja tena box to box utaoga magoliπ
Hakuna magoli mengi hapo mkuu, uzuri wa huu mfumo unakuwa na idadi kubwa kuzuia na idadi kubwa kushambulia.Midfielder mkabaji mmoja tena box to box utaoga magoliπ
Hanifai πUnamweka tuu mbona anapiga kazi chafuπ
Siyo mabadiriko makubwa, nimemsogeza AMF juu kidogo acheze kama SS.Umebadilisha tena formation ππ
Balaa lile.Yule Victor Baia anadaka yule fala
Mida yetu ile itapendeza.Twende tukaujaribuπππView attachment 3330998
Ngoja tuone ila ukitaka kutumia dmf mmoja inafaa Anchorman au orchestrator. Box to box anazurura sana kuna shimo hapo kati kubwaπ kumbuka hao LMF na RMF wanapanda wanamuacha Amrabat peke yake naHakuna magoli mengi hapo mkuu, uzuri wa huu mfumo unakuwa na idadi kubwa kuzuia na idadi kubwa kushambulia.
Nilichofanya hapo ni kumsogeza AMF kwenye eneo la SS.