Uje unipe tutorial asee nimezipenda.. nilijaribu moja ikakubali kipa hadaki hizo๐๐Haha, zile za kuchora tu sasa sijajua kama ni mguu wa mchezaji ndo unapeleka za nguvu
Afu pale kwenye penati niliwaza nimlete kipa wangu nikaogopa ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNingedaka ilikua ni pasi moja shoot goliniAfu pale kwenye penati niliwaza nimlete kipa wangu nikaogopa ๐
Kwenye game plan kule weka players to join attack zile beki zako refu, kama Dijk.. mi nimemuweka Adams, Gravidol na Tchoameni wananisaidia mno mitaa ile.Uje unipe tutorial asee nimezipenda.. nilijaribu moja ikakubali kipa hadaki hizo๐๐
Ee. Nilivokosa ndo nikawaza hivo hivo, ungenifunga goli rahisi sana ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNingedaka ilikua ni pasi moja shoot golini
Aah hilo nitafanya namna ya kuzichora sasaKwenye game plan kule weka players to join attack zile beki zako refu, kama Dijk.. mi nimemuweka Adams, Gravidol na Tchoameni wananisaidia mno mitaa ile.
Ningerecord nililete huku๐๐๐sEe. Nilivokosa ndo nikawaza hivo hivo, ungenifunga goli rahisi sana ๐
Afu pale ukipata kona weka 6 Yard Box, ukichora hakikisha ule mchoro unaingia ndani kidogo au unakuwa usawa tu wa wachezaji pale karibu na goli.Aah hilo nitafanya namna ya kuzichora sasa
Aah sawaa sawaa mkuuAfu pale ukipata kona weka 6 Yard Box, ukichora hakikisha ule mchoro unaingia ndani kidogo au unakuwa usawa tu wa wachezaji pale karibu na goli.
Siyo ubahili tatizo hakidhi vigezo vyangu ๐Acha ubahili kaka๐คฃ๐คฃ
B2B wanatembea eneo kubwa na hawachoki.Unapenda sana box to Box.. sema box to Box midfield wazuri ni Amrabat wako wa booster mbili na Kante basi๐๐๐
๐๐คฃ๐คฃKuna jamaa alinicholea L kabisa๐คฃ๐คฃ
Kwa sasa sichezi tena dvn mpaka phase nyingine ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃNgoja nitafute ya div one sasa upate moto vizuri
View attachment 3330383
Tutasubiri.Wakuu huu mwezi nimebanwa sana. Kama kuna anayeweza simamia afanye hivo.
Ila mwezi ujao itakuwa fresh.
Kumbe nyash inaondoa baraka ya mikono kwenye spin ๐
Huyu namtaka ๐๐๐๐Kwa mchezo wako kwa Negan unakufa nyingi ๐๐๐me mbovu bado๐๐๐
Mechi zangu me na wewe.
Cc Razorblade
View attachment 3330409
Uwe unaweka zonal au man to man kwa kiasi inasaidia.Hapana ujue mpk ukitaka kupiga kona ikanibid niwashe blue mbili zote ili wajae golini wachezaji wangu๐๐๐๐