Hiyo amua kuanzia leo situmii ukimix me naona hakuna kitu unafanya...Nimejaribu mara kadhaa na nitaendelea kufanya hivyo ili niachane na matumizi ya smart assist, ila hawa AI naona wako faster sana π
Sina kazi nazo hizo, nazingatia sifa ya mchezaji husika kwenye eneo husika.Me position training nanunua mnoπππnataka saliba apate DM π€£π€£π€£
Sijaona utofauti mkubwa kwahiyo hata nisipotumia athari zake haziwezi kuwa kubwa, bado nafanya mazoezi kucheza bila smart assist.Hiyo amua kuanzia leo situmii ukimix me naona hakuna kitu unafanya...
Mfano me nimetoka kucheza na mtu hapa napata shida kwel kufunga kwa sababu nishazosa smart assist kaka
Sawaa kakaSina kazi nazo hizo, nazingatia sifa ya mchezaji husika kwenye eneo husika.
Sawaa kaka komaaaSijaona utofauti mkubwa kwahiyo hata nisipotumia athari zake haziwezi kuwa kubwa, bado nafanya mazoezi kucheza bila smart assist.
Pole sana kakaHapa uzalendo umeanza kunishinda, kama ipo ipo tu π
Zikifika 10 J3 napita nazo asubuhi na mapema.
View attachment 3329604
π₯΄Mkuu upo ?
Burudani.Yo, inakuaje wakuu
Mishe zinaendaje?Burudani.
TupasheBurudani.
Anaweza asiwepo online Jf ila kwnye gane akawepo mcheki na huko japo mida yake mara nyingi huwa ni mchanaπ₯΄
Username yake?Anaweza asiwepo online Jf ila kwnye gane akawepo mcheki na huko japo mida yake mara nyingi huwa ni mchana
Safi mkuu mishe vipYo, inakuaje wakuu
Wewe nimekuona kule, nimetengeneza room nikutumie invite nashangaa haupo tena πAnaweza asiwepo online Jf ila kwnye gane akawepo mcheki na huko japo mida yake mara nyingi huwa ni mchana
Good tu kaka.. vipi kipande hichoSafi mkuu mishe vip
Nitaikosea tuuπUsername yake?
Me nipo kwenye hiace kaka niliingia kupiga penati tuuππWewe nimekuona kule, nimetengeneza room nikutumie invite nashangaa haupo tena π
Uku kwema kabisa kakaGood tu kaka.. vipi kipande hicho